Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ponda waliokufa,sifia waliohai ndio siri ya siasa za bongo[emoji3]
Mbona Jakaya Kikwete anapondwa hata akiwa bado yupo hai.Ponda waliokufa,sifia waliohai ndio siri ya siasa za bongo[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila mtu akiamua kufunguka, jamaa anaweza fufuka
Ha ha aaa bro bna acha tuKila mtu akiamua kufunguka, jamaa anaweza fufuka
Kiliwekwa kuongeza hadhi ya mjiBank ya CRDB Chato huwa ina kighorofa
Kufa kwenye siasa zetu sio kuondoka uhai tu,hata kupoteza madaraka wadau wanachukulia umekufa tu wanapita nawewe[emoji3]Mbona Jakaya Kikwete anapondwa hata akiwa bado yupo hai.
Sana akikuambia usiku mwema toka nje uone kama ni usikuzile pambio alizoimba wakati wa kuvunja bunge kumbe ilikuwa maigizo[emoji57]wanasiasa sio wa kuwaamini
Samia ni Rais lakini akifanya upuuzi tunamponda kama Kawaida sembuse huyo kikweteKufa kwenye siasa zetu sio kuondoka uhai tu,hata kupoteza madaraka wadau wanachukulia umekufa tu wanapita nawewe[emoji3]