Tetesi: Iliyokuwa CRDB bank sasa yageuzwa kuwa Chato Club

Tetesi: Iliyokuwa CRDB bank sasa yageuzwa kuwa Chato Club

Huku nako Vicky Kamata kachomoa battery. Acha Mungu aitwe Mungu

View attachment 1976147
Huu si ushuzi umeandikwa hapa.Maneno mengi ushuzi tupu watu madhubuti huongea wakati watu wakiwa hai bila kuogopa.........
unasubiri watu wamekufa ndio anaongea......
kwani kuna asie jua kila mtu atakufa.....
 
Bado ipo

download.jpg
 
CRDB walijenga tawi Chato mwaka 2009. Liko mtaa wa Bondeni kata Muungano, wilaya ya Chato karibu na Ofisi za TRA Chato.
Mwaka 2018 ilijengwa jengo jipya katika mtaa wa Mlimani, kata Muungano Chato, imetazamana na NMB na kituo cha polisi Mlimani.

Jengo hilo la zamani limepata mpangaji mpya.
 
Tumieni akili basi. Hapo ni pale CRDB walikuwa wamepanga zamani. Idiot kabisa. Jengo la CRDB lipo na linafanya kazi.

[emoji2][emoji2]kwa sasa kila kitu kinawafurahisha tu.

hata akitokea kichaa akaripua basi lenye abiria sababu kuna mwana ccm mule watashangilia tu,akili zimewekwa kwenye droo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom