Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Music umehamia live,, basi band jipangeni.Kote huko katika umri huu mdogo alikuwa anafanya biashara ya umachinga?
Daah...Mondi ashapata dem mpya...labda wasikutaneWakuu, habari zenu,
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu,
Huyu miss lake zone
Ni lazima awe miss Tanzania
La sivyo mtu atatumbuliwa
Ovaaaaa
View attachment 424745
View attachment 424747
View attachment 424749
Cha ajabu kwake nini mbona hatukioni? Kwanza anatumia gharama kubwa mno kupendeza hana natural beauty.Wakuu, habari zenu,
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu,
Huyu miss lake zone
Ni lazima awe miss Tanzania
La sivyo mtu atatumbuliwa
Ovaaaaa
View attachment 424745
View attachment 424747
View attachment 424749
Kamekomaa hakoAnatoka Geita, kwetu Tanzania
Hiyo sura iko wapi?Yaani wakawaida mno hata top 20 hagusi. Halafu siku hizi na ubongo unachangia. Usikute naye anaringia sura huku kichwani tope.
Hashim Lundenga nae aachane akabidhi kijiti kwingine. zee Zima bado kang'ang'ana na vitotomashindano haya yashapoteza mvuto..tangu sakata la sitti mtevu.!
Kiswahili kibovu kinakera sana mkuuRazima ndio nini
Madelu ana vyeti viwili vya kuzaliwaMadelu hakurudia darasa la saba?