Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

hivi jina lake ni kirefu cha illuminat...natania tu
 
kumbe waonyesha nyuchi jukwaani bado wapo na mashindano yao?!!
 
Akishindwa nipo tayari kujitolea kumpa pole ya kumuoa bure.
 
Miss Tanzania iboreshwe... Mshindi apewe scholarship ya kusoma ulaya au usa ili wazazi waruhusu mabinti wakali wajitokeze sio kila siku tunashuhudia bibi bomba
 
Back
Top Bottom