Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Atawadanganya hao hao huyu ni wa kagera na alishindaga huko kagera mwaka 2012 kama sijakosea sasa hivi kaamua kwenda kushiriki upande wa geita kwaio ame risiti tena umiss hana umiss wowote ule aiseee
Mungu wanguuuuuu.
 
Huyo dem namjua sana alikuwa anaishi kwa mjomba wake huku maeneo ya kimara suka mtaa wa rift Valley kwa mzee tumbo mwaka 2012 mpka Leo bado anapambana awe Miss Tanzania
 
Alishiriki Mashindano na kufanikiwa kushinda Red Miss Kagera 2013 akaja kuangushwa vibaya baadae. Ngoja nikuwekee picha zake.
 
Attachments

  • DSC02563.JPG
    207.2 KB · Views: 44
  • YY.jpg
    164.3 KB · Views: 39
Atawadanganya hao hao huyu ni wa kagera na alishindaga huko kagera mwaka 2012 kama sijakosea sasa hivi kaamua kwenda kushiriki upande wa geita kwaio ame risiti tena umiss hana umiss wowote ule aiseee
Na huyu na wasiwasi kajipunguzia umri ka sitti Mtemvu asije kutia gundu miss Tanzania ikafungiwa tena
 
Miss wa mwendokasi roboti la matope kamtia gundu gelofriend wake kumuanika JF kumbe naye ni miss hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…