Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #101
Acha dharau kwenye kazi ya MUNGUAna sura nzito... ushangae ni 22yrs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dharau kwenye kazi ya MUNGUAna sura nzito... ushangae ni 22yrs
Uko vizuri afu hujulikani? Wadanganye hao hao.Kwani Mimi mshiriki wa miss tzii mi Niko vzuri sana sio huyo adunje anagombea umiss mfupi ka kistuli
Mimi ni mtazamaji but MKOA WA GEITA ndo habari ya TANZANIANmemwona, vp utakua judge sku hiyo??
Wewe umeona poa tu?
We ni kisu cha kumenyea viazi
So
Cha
Kufanyia mkeketoooo
Anzisha Uzi wako. Hapa ni ILLUMINATHA DOMINICK TUUUUU
Kwani vyura vinahusika?????Hana chura kabisa lazma awe wa mwisho
Sina undugu naye.Au mpwa wako
Atawadanganya hao hao huyu ni wa kagera na alishindaga huko kagera mwaka 2012 kama sijakosea sasa hivi kaamua kwenda kushiriki upande wa geita kwaio ame risiti tena umiss hana umiss wowote ule aiseeeKagera tena?????? Huyu umemfananisha. Ni wa GEITA
Mungu wanguuuuuu.Atawadanganya hao hao huyu ni wa kagera na alishindaga huko kagera mwaka 2012 kama sijakosea sasa hivi kaamua kwenda kushiriki upande wa geita kwaio ame risiti tena umiss hana umiss wowote ule aiseee
Kwa nn unasema lazima ashindeSina undugu naye.
Illuminata ligi ndogo sana kazidiwa mbali na wenzakeAnzisha Uzi wako. Hapa ni ILLUMINATHA DOMINICK TUUUUU
Na huyu na wasiwasi kajipunguzia umri ka sitti Mtemvu asije kutia gundu miss Tanzania ikafungiwa tenaAtawadanganya hao hao huyu ni wa kagera na alishindaga huko kagera mwaka 2012 kama sijakosea sasa hivi kaamua kwenda kushiriki upande wa geita kwaio ame risiti tena umiss hana umiss wowote ule aiseee
Hujasikia wapenda Selfie wote ni wagonjwaSijakuelewaaa