Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Huyo dem namjua sana alikuwa anaishi kwa mjomba wake huku maeneo ya kimara suka mtaa wa rift Valley kwa mzee tumbo mwaka 2012 mpka Leo bado anapambana awe Miss Tanzania
Basi mwaka hua kaulaaaaa
 
Alishiriki Mashindano na kufanikiwa kushinda Red Miss Kagera 2013 akaja kuangushwa vibaya baadae. Ngoja nikuwekee picha zake.
Bora mkuu mimi nilichanganya nikajua ni 2012, huyu amehangaika sana aiseee...tangu 2013 -mpaka leo anajifanya miss....
 
mh mbona mm flatscreen kumbe unapenda chura eenh nimekufuma
haha aisee sina la kujibu hapa
nilikuwa naulizia kama mpododo anao atashinda ila usijali mi nimekupendea mengine wala sio umbo
 
Hamna kitu hapo...
Miss Ilala kawafunika wote
 
Bora mkuu mimi nilichanganya nikajua ni 2012, huyu amehangaika sana aiseee...tangu 2013 -mpaka leo anajifanya miss....
Ilikuwa ni 2013 Mkuu wangu! Huyu hawezi kushinda. Vifaa vya mwaka huu si mchezo na hata hivyo huyu hana chochote cha kumfanya awe miss TZ
 
Ilikuwa ni 2013 Mkuu wangu! Huyu hawezi kushinda. Vifaa vya mwaka huu si mchezo na hata hivyo huyu hana chochote cha kumfanya awe miss TZ
sijui umiss una dili gani maana facebook amezitoa picha za mwaka 2013 alizoshiriki, ingawa alitokea kwenye tangazo la maji ya kilimanjaro, sasa miaka yote hio anagukuzia umiss sijui kuna kitu gani...
 
sijui umiss una dili gani maana facebook amezitoa picha za mwaka 2013 alizoshiriki, ingawa alitokea kwenye tangazo la maji ya kilimanjaro, sasa miaka yote hio anagukuzia umiss sijui kuna kitu gani...
Ni kikongwe huyo mtoto. Picha nimezinyaka mahali na nimezipost mbili hapa. Ameona so kuziacha maana angepingwa sana na wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…