mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,049
Hana vigezo ata 6 vya kushinda.siwezi kibet.Tar 29 sio mbaliii. Tubet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana vigezo ata 6 vya kushinda.siwezi kibet.Tar 29 sio mbaliii. Tubet
Vipi yuko vizuri?Nishampitia uyo
Basi mwaka hua kaulaaaaaHuyo dem namjua sana alikuwa anaishi kwa mjomba wake huku maeneo ya kimara suka mtaa wa rift Valley kwa mzee tumbo mwaka 2012 mpka Leo bado anapambana awe Miss Tanzania
Anatoka KANDA ya ZIWAKwa nn unasema lazima ashinde
Wenzake akina nani?Illuminata ligi ndogo sana kazidiwa mbali na wenzake
Bora mkuu mimi nilichanganya nikajua ni 2012, huyu amehangaika sana aiseee...tangu 2013 -mpaka leo anajifanya miss....Alishiriki Mashindano na kufanikiwa kushinda Red Miss Kagera 2013 akaja kuangushwa vibaya baadae. Ngoja nikuwekee picha zake.
haha aisee sina la kujibu hapamh mbona mm flatscreen kumbe unapenda chura eenh nimekufuma
Yupo. But mwaka huu tunampa warning mapema. Akibug inakula kwakeeeeLundenga bado yupo
nakumbuka kama ilishia kwa sepetunga vile?mshaanza promo hivi Miss Tz kumbe ipogo
Diva umemwandama mtoto wa GEITA sijui kakukosea nini?????Na huyu na wasiwasi kajipunguzia umri ka sitti Mtemvu asije kutia gundu miss Tanzania ikafungiwa tena
My God.... Sijasikia.Hujasikia wapenda Selfie wote ni wagonjwa
Ilikuwa ni 2013 Mkuu wangu! Huyu hawezi kushinda. Vifaa vya mwaka huu si mchezo na hata hivyo huyu hana chochote cha kumfanya awe miss TZBora mkuu mimi nilichanganya nikajua ni 2012, huyu amehangaika sana aiseee...tangu 2013 -mpaka leo anajifanya miss....
kwani wewe ndio ulluminatha?Dharauuuuuu
I see Diva unaweza nivunjia ndoa. Mimi nina mke.Miss wa mwendokasi roboti la matope kamtia gundu gelofriend wake kumuanika JF kumbe naye ni miss hewa
Unaogopa kuliwa?Hana vigezo ata 6 vya kushinda.siwezi kibet.
sijui umiss una dili gani maana facebook amezitoa picha za mwaka 2013 alizoshiriki, ingawa alitokea kwenye tangazo la maji ya kilimanjaro, sasa miaka yote hio anagukuzia umiss sijui kuna kitu gani...Ilikuwa ni 2013 Mkuu wangu! Huyu hawezi kushinda. Vifaa vya mwaka huu si mchezo na hata hivyo huyu hana chochote cha kumfanya awe miss TZ
Ni kikongwe huyo mtoto. Picha nimezinyaka mahali na nimezipost mbili hapa. Ameona so kuziacha maana angepingwa sana na wadausijui umiss una dili gani maana facebook amezitoa picha za mwaka 2013 alizoshiriki, ingawa alitokea kwenye tangazo la maji ya kilimanjaro, sasa miaka yote hio anagukuzia umiss sijui kuna kitu gani...
Zaidi ya vizuriVipi yuko vizuri?