Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

aiseee mbona anaonekana mkubwa mno?
Yasije kuwa kama sitti Mtemvu bure
 
Hana vigezo labda wambebe kwanza huo ukanda Mara nyingi wanashindwa kutwa hill taji
 
Kichwani vipi yuko vizuri,maana hicho nacho ni kigezo kimoja wapo,asije akawa ni wale 'ze,ze people of zis country'.
 
Mbona wa kawaida saana.. Mleta mada kipi unique unadhan anacho kinamfanya atwae taji kilazma km utakavyo wewe
 
Hata mimi nikieditiwa nitaonekana mrembo lakini kumbe nna sura kama gaucho!
i.e huyo bado saaana licha ya kuwa kaeditiwa
 
Mbona ana nywele za maiti?
Bibi umefufuka? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
hana vigezo....anajua kuzungumza kiswahili fasaha au ni kama magu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…