Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

Nyerere was trained by the Fabian Society to be illuminati number one.

Duuuh...!!!:A S 13::A S 13::A S 13:......Makubwa.!!! Nyerere was Illuminati???? What kind of nonsense is this?

FYI , Nyerere, Mtetezi wa wanyonge, was Africa's greatest leader. May God the Almighty rest his soul in eternal peace.
 
UTAMJUAJE MTU YUKO KWENYE SECRET SOCIETY???? MANAKE TUNAHUSIANA NA MARAFIKI/NDUGU ETC. HOW DO YOU TELL - KUWA MTU KESHAINGIA KWENYE HIZO "SECRET SOCIETIES" WAKATI WANAFANYA "SIRI" TAYARI???

naomba kufahamishwa kwa yeyote anayejua - please
 
Duuuh...!!!:A S 13::A S 13::A S 13:......Makubwa.!!! Nyerere was Illuminati???? What kind of nonsense is this?

FYI , Nyerere, Mtetezi wa wanyonge, was Africa's greatest leader. May God the Almighty rest his soul in eternal peace.

nyerere kuwa mtetezi wa wanyonge au mpigania uhuru safi haimaanishi kwamba anaweza asiwe illuminatila ulitakiwa kumtaka mtoa maneno hayo kuthibitisha kinagaubaga na sio kumshambulia kwa hoja ambazo nazo zina walakiwi kuziamini.
kwani wewe hujasikia illuminat kuwa wanajifanya watu wema sana watoa misaada wazuri na wapenda sana shughuli za kijamii? katika kuyafanya hayo basi humo humo wanafanikisha azma zao.
sitaki kusema nyerere alikuwa wala hakuwa nachosema si vyema kumbishia mtu ila ni busara kumtaka atoe maelezo ya kutushawishi zaidi.
 
Kuna secret societies nyingi sana, ila jambo moja la kufahamu ni kwamba zote zimeanzishwa ili zifanye kazi kwa siri kwa malengo maalum (undercover operations). Societies zote hizo zimeanzishwa na Jesuits Society (au Jesuits Order). Katika ngazi ya juu ya taasisi hizi (Inner circles) zinaripoti moja kwa moja kwa "Black Pope" (aka Superior General ) ambaye ndiye mkuu wa Jesuits Society. Kwa kuwa Jesuits Society in taasisi ya ndani ya Vatican, ina maana kwamba kiongozi wa kanisa Katholic (Pope) yeyote yule ni lazima awe mwanachama wa Jesuits. Kwa kuwa Jesuits wanafanya kazi (undercover) kwa niaba ya Vatican. Utagundua pia Jesuits ndio walianzisha uislam. Catholic and Islam have one goal, one purpose, one objectives (At the inner circles), ingawa waumini walio wengi hawajui kinachoendelea kama ilivyo kwa secret societies nyingi.

Ukitaka kujua zaidi jinsi wanavyofanya kazi fuatilia presentation hii (well referenced) Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power behind the power should remain exactly that-Secret. In this lecture, clear evidence is pr

Pia How Islam is connected to the New World Order Movement
 
they are not secret societies-because every one knows them-but are societies with secrects
 
Duuuh...!!!:A S 13::A S 13::A S 13:......Makubwa.!!! Nyerere was Illuminati???? What kind of nonsense is this?

FYI , Nyerere, Mtetezi wa wanyonge, was Africa's greatest leader. May God the Almighty rest his soul in eternal peace.
there is nothing wrong about it, as long as he used it for all teh good reasons

tunajichimbia mashimo ya uelewa tusiyoyayelewa
 
Kuna secret societies nyingi sana, ila jambo moja la kufahamu ni kwamba zote zimeanzishwa ili zifanye kazi kwa siri kwa malengo maalum (undercover operations). Societies zote hizo zimeanzishwa na Jesuits Society (au Jesuits Order). Katika ngazi ya juu ya taasisi hizi (Inner circles) zinaripoti moja kwa moja kwa "Black Pope" (aka Superior General ) ambaye ndiye mkuu wa Jesuits Society. Kwa kuwa Jesuits Society in taasisi ya ndani ya Vatican, ina maana kwamba kiongozi wa kanisa Katholic (Pope) yeyote yule ni lazima awe mwanachama wa Jesuits. Kwa kuwa Jesuits wanafanya kazi (undercover) kwa niaba ya Vatican. Utagundua pia Jesuits ndio walianzisha uislam. Catholic and Islam have one goal, one purpose, one objectives (At the inner circles), ingawa waumini walio wengi hawajui kinachoendelea kama ilivyo kwa secret societies nyingi.

Ukitaka kujua zaidi jinsi wanavyofanya kazi fuatilia presentation hii (well referenced) Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power behind the power should remain exactly that-Secret. In this lecture, clear evidence is pr

Pia How Islam is connected to the New World Order Movement

madai mazito haya.hizi secret societies/societies with secrets,ni ant christ or pro-christ?Pope atakuwaje pro and ant christ at the same time?
 
madai mazito haya.hizi secret societies/societies with secrets,ni ant christ or pro-christ? Pope atakuwaje pro and ant-christ at the same time?

Utamjua kuwa ni pro au anti-christ kwa maneno na matendo yake, he can pretend to be pro-christ while in the actual facts he is anti-christ. The facts are here (1) Discoveries 08 - Episode 21 - Low Quality

(2) The Bible and the Bible alone are used to identify the Antichrist power. The little horn power of Daniel 7 with its twelve clear identifying features points to the only one who can qualify as Antichrist. Modern day deceptions regarding the little hor

(3) http://babylonmysteryreligion.com/The Mark.htm
 
Threds nyingine zinaboa.

Pole, siku nyingine malalamiko yako yapeleke panapohusika>>>>

JF homepage:Members ONLY forums

Complaints, Congrats, Advice(12 Viewing)
You wanna give us/your fellows any advice? Thanks? Complaining about something? Post them here.
 
Mimi materials ya hawa freemasons, Illuminate, secret society, the new world order ninayo kibao anaetaka atume awasiliane nami
 
ondoa upuuzi wako wewe. Nyerere was never a freemansons. Na kuna watu wanaamini sana kuwa ndiyo maana hii nchi iliminywa sana, maana WB supports countries whose leaders are freemasonry, na if you do not become one of them they may take you out of power (among others na kama una natura resources) kama yanayotokea kwa gbagbo au gaddafi.

You need to dig about these secret society, who and how they take control of states, what they own kabla ya kuja na silly accusation zako hapa.

Alikuwa freemasons na hata rafiki zake ambao wako hai mpaka leo ni freemasons, akina Sir Andy Chande na wenzake, Nyerere alisaidiwa sana na world bank kwani nae aliwasaidia kuvunja nguvu ya communism katika pande yetu hii, alikuwa mtekelezaji mzuri wa mpango wa USA na Uingereza kuinganisha Zenj na Dar ili Basic industries za kuajiri watu laki tano wakati ule zilizokuwa ziende Zanzibar kutokana na makubaliano ya nchi tatu, Zanzibar, Indonesia na Ujerumani mashariki usifanikiwe kwani Zanzibar ingekosa sifa ya kuwa nchi. Muungano ulifanyika wakati Abdulrahman babu ameshatia saini mkataba ule, alikuwa waziri wa mambo ya nje ya Zanzibar.Aliporudi hakukuta Zanzibar na Tanganyika alikuta Tanzania, akapewa cheo cha waziri wa viwanda wa Tanzania akiwa airport.
 
Back
Top Bottom