Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

na ambao hawajafika vyuoni je?

Ndio kazi ya elimu na Mitaala duniani Mkuu ndio financier wa research zote muhimu kwa ajili ya kukufanya uwe katika order.

Hata kufundishwa 2x2 = 4 ni kukuweka katika order
 
Illuminati na most of western secret societies zilianza Rome baada julias ceasar kuwa supposedly stabbed to death

Conspiracy theorists wanasema ceasar ali survive lile tukio la Brutus na akaendesha Roman empire kwa zaidi ya miaka kumi kutumia hizi secret societies

Lengo lao ni total world domination na kuressurrect a new Roman empire
 
nyerere kuwa mtetezi wa wanyonge au mpigania uhuru safi haimaanishi kwamba anaweza asiwe illuminatila ulitakiwa kumtaka mtoa maneno hayo kuthibitisha kinagaubaga na sio kumshambulia kwa hoja ambazo nazo zina walakiwi kuziamini.
kwani wewe hujasikia illuminat kuwa wanajifanya watu wema sana watoa misaada wazuri na wapenda sana shughuli za kijamii? katika kuyafanya hayo basi humo humo wanafanikisha azma zao.
sitaki kusema nyerere alikuwa wala hakuwa nachosema si vyema kumbishia mtu ila ni busara kumtaka atoe maelezo ya kutushawishi zaidi.

Nimepend sana argument yako, ila ungefafaua kidogo hapo juu kwenye bandiko lako, je kama wanakuwa wema kwa watu wanapitisha nini chao tena ambacho bila kuwasogelea wanaopewa msaada hawawezi kufanya?
 
Conspiracy theorists believe there's an elite group of powerful peoples who controls the world. Illuminati People are freethinkers, with Enlightenment, and intelligent. Do we have these Illuminati in Tanzania? People who controls everything, predict our future etc....and who are the members ? or Illuminati elite do not exist in Bongoland?

Masa
Where are they in Tanzania
 
Ushaambiwa ni secrete society ina maana kwamba utekelezaji wa mambo yao ni siri mno. Sasa kama mmeshazijua siri hizo haiwezi kuwa ni secrete society tena. Acheni kuwa wa vivu wa kufikiria, hakuna anaeijua freemason ama so called illuminate or any other secrete society zaidi ya wale ambao wapo katika kundi hilo.
 
Fabians ndio progenitors forerunners wa Labour Party. Ukitazama malengo yao;ya kufuta mipaka ya nchi,kuondoa serikali zote,kuunda World Government,hakuna tofauti kati ya malengo,manifesto ya Fabians na Illuminati.Kuhusu Mwalimu na yule Secretary wake,Mama Wicken,kama walikuwa members of the Fabian Society,that is just something that could hsppen in the ordinary course of events. Huko North America na Western Europe,KWANZA unakuwa Freemason,halafu ndio unapata cheo. Hii nimesoma katika Brittanica Encyclopedia.
 
Kwanza nashangaa katika kamusi kuona Illuminati wanajiita Perfectionists. Kwa sababu wale watu wanamwamini Lucifer. Adam Weishaupt alikuwa Jesuit priest,alivyogombana na Jesuits,ndio akaanzisha ili afanye kila kitu kinachopingwa na Jesuits. Kwa hiyo nasema ni kichekesho Illuminati kuitwa perfectibilists,neno ambalo labda wamelitunga wenyewe. Ukisoma Code of Illuminati utaona Weishaupt anawasisitiza Illuminati kuwa na 'virtue'. Lakini 'virtue' katika Illuminati maana yake kuwa ruthless,ukiwa mkatili ndio unapata cheo haraka katika organization yao.
 
The only being which can control everything at the same time, and which knows what the future holds for you is GOD, any being or thing than this is the counterfit. The conspiracy theorists and whoever they are, and who have been there in the history, are nobody else but mind freaks who try to dictate the way we should live, conduct ourselves and the list goes on,,,,,. So my friend watch out whilst you want to fall into their trap of dependence on what you should do according to what they want.
Inaonesha wazi kabsa kuwa hufahamu kwamba hao conspiracy theorist ndio waliokufahamisha kwamba "there's GOD" na wakakupa materials za kimaandishi uwe unapitia pitia kidgo ili umfaham zaidi GOD. ukibisha ntashangaa sana.
 
Inaonesha wazi kabsa kuwa hufahamu kwamba hao conspiracy theorist ndio waliokufahamisha kwamba "there's GOD" na wakakupa materials za kimaandishi uwe unapitia pitia kidgo ili umfaham zaidi GOD. ukibisha ntashangaa sana.
Word...!
 
jamanyh! iam looking 4 those guys illuminat I need 2b amember pls assist.
 
Mkuu

FreeMason na Illuminati zote hizi ni secret socities zinazojitegemea. Freemasons haiko ndani ya Illuminati. Kumbuka zipo nyingi sana na hizi ndizo zinazoongoza dunia kisiasa na kiuchumi. Nitakutajia chache....Skull and Bones, Bilderberg group, Knights Templar, Opus Dei, SCAN, New world Order etc etc...Kila society ina taratibu zake na sheria zake. Ziko tofauti kulingana na imani. Kuna vitu kama 5 vinavyofanana kwenye hizi societies

  1. The oath of secrecy
  2. Oath against division
  3. Oath of absolute obidience
  4. Oath of Honest
  5. oath of support
Member anapokiuka basi hupewa adhabu kali, kama kifo, eyeballs pierced and even feet being flayed.

Ukitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail

Kuna kitabu nasoma cha Sylvia Browne ameelezea sana......kuna maraisi wa nchi nyingi na most powerful peoples wako kwenye hizi secret societies
Naomb uwek hiko kitabu here
 
Ni kweli kwamba ni taasisi zinajitegemea, lakini kitu kimoja ni kwamba taasisi zote hizi zinapata amri (command) kutoka kwa mtu mmoja. Kimuundo kuna 'inner circle' na 'outer circle'. Kwa taasisi zote, ukiwa mwanachama kwenye 'outer circle' huwezi elewa kinachoendelea, ila ukiwa mwanachama kwenye 'inner circle' ndo hapo unajua siri zote na unakula kiapo ambacho ukikivunja adhabu yake ni mauti. Taasisi hizi zote zimeanzishwa na 'Jesuits order' na ziko controlled na Jesuits chini ya "Black pope" aka, Superior General; na Jesuits ni taasisi ndani ya Vatican.
Watu hawajui role ya Jesuit na pope vizuri.

Upo vizuri. Umewahi check similaraties za signs zilizop vatcn n macc??

Jesuit knight temp ni ndugu tu hao
 
plz ova plz watz wenzangu,hawa freemason wapo toka zaman sana hata hvyo hatupaswi kuogopa uwepo wao bali tusijiunge nao na kuchukua tahadhari,nashangaa watu kugeuza vitisho na watu kumshuku mtu flan ni memba,cha msingi kumtumai Mungu coz kila siku anatulinda na wachawi,sumu,magonjwa nk.
Hapa bongo wapo kitambo sana
 
Mkuu

FreeMason na Illuminati zote hizi ni secret socities zinazojitegemea. Freemasons haiko ndani ya Illuminati. Kumbuka zipo nyingi sana na hizi ndizo zinazoongoza dunia kisiasa na kiuchumi. Nitakutajia chache....Skull and Bones, Bilderberg group, Knights Templar, Opus Dei, SCAN, New world Order etc etc...Kila society ina taratibu zake na sheria zake. Ziko tofauti kulingana na imani. Kuna vitu kama 5 vinavyofanana kwenye hizi societies

  1. The oath of secrecy
  2. Oath against division
  3. Oath of absolute obidience
  4. Oath of Honest
  5. oath of support
Member anapokiuka basi hupewa adhabu kali, kama kifo, eyeballs pierced and even feet being flayed.

Ukitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail

Kuna kitabu nasoma cha Sylvia Browne ameelezea sana......kuna maraisi wa nchi nyingi na most powerful peoples wako kwenye hizi secret societies
Point of correction

New world oder sio societ ni agenda
 
Kuna secret societies nyingi sana, ila jambo moja la kufahamu ni kwamba zote zimeanzishwa ili zifanye kazi kwa siri kwa malengo maalum (undercover operations). Societies zote hizo zimeanzishwa na Jesuits Society (au Jesuits Order). Katika ngazi ya juu ya taasisi hizi (Inner circles) zinaripoti moja kwa moja kwa "Black Pope" (aka Superior General ) ambaye ndiye mkuu wa Jesuits Society. Kwa kuwa Jesuits Society in taasisi ya ndani ya Vatican, ina maana kwamba kiongozi wa kanisa Katholic (Pope) yeyote yule ni lazima awe mwanachama wa Jesuits. Kwa kuwa Jesuits wanafanya kazi (undercover) kwa niaba ya Vatican. Utagundua pia Jesuits ndio walianzisha uislam. Catholic and Islam have one goal, one purpose, one objectives (At the inner circles), ingawa waumini walio wengi hawajui kinachoendelea kama ilivyo kwa secret societies nyingi.

Ukitaka kujua zaidi jinsi wanavyofanya kazi fuatilia presentation hii (well referenced) Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power behind the power should remain exactly that-Secret. In this lecture, clear evidence is pr

Pia How Islam is connected to the New World Order Movement
upo sawa kabisa ungekuwa karibu ningekupa zawadi
ukiwa insider unakuwa unajua kinachoendelea watu wa kawaida ndani ya lile kusanyiko la kuabudu halielewi nani anayepull the strings behind the curtains
 
Back
Top Bottom