Kasome LOST SYMBOL & ANGELS and DEMONS by Dan Brown ni Novel lakini zina ukweli mkubwa kuhusu mambo ya Freemasons,Illuminati.
Nyerere was trained by the Fabian Society to be illuminati number one.
Duuuh...!!!:A S 13::A S 13::A S 13:......Makubwa.!!! Nyerere was Illuminati???? What kind of nonsense is this?
FYI , Nyerere, Mtetezi wa wanyonge, was Africa's greatest leader. May God the Almighty rest his soul in eternal peace.
they are not secret societies-because every one knows them-but are societies with secrectsKuna secret societies nyingi sana, ila jambo moja la kufahamu ni kwamba zote zimeanzishwa ili zifanye kazi kwa siri kwa malengo maalum (undercover operations). Societies zote hizo zimeanzishwa na Jesuits Society (au Jesuits Order). Katika ngazi ya juu ya taasisi hizi (Inner circles) zinaripoti moja kwa moja kwa "Black Pope" (aka Superior General ) ambaye ndiye mkuu wa Jesuits Society. Kwa kuwa Jesuits Society in taasisi ya ndani ya Vatican, ina maana kwamba kiongozi wa kanisa Katholic (Pope) yeyote yule ni lazima awe mwanachama wa Jesuits. Kwa kuwa Jesuits wanafanya kazi (undercover) kwa niaba ya Vatican. Utagundua pia Jesuits ndio walianzisha uislam. Catholic and Islam have one goal, one purpose, one objectives (At the inner circles), ingawa waumini walio wengi hawajui kinachoendelea kama ilivyo kwa secret societies nyingi.
Ukitaka kujua zaidi jinsi wanavyofanya kazi fuatilia presentation hii (well referenced) Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power behind the power should remain exactly that-Secret. In this lecture, clear evidence is pr
Pia How Islam is connected to the New World Order Movement
there is nothing wrong about it, as long as he used it for all teh good reasonsDuuuh...!!!:A S 13::A S 13::A S 13:......Makubwa.!!! Nyerere was Illuminati???? What kind of nonsense is this?
FYI , Nyerere, Mtetezi wa wanyonge, was Africa's greatest leader. May God the Almighty rest his soul in eternal peace.
Kuna secret societies nyingi sana, ila jambo moja la kufahamu ni kwamba zote zimeanzishwa ili zifanye kazi kwa siri kwa malengo maalum (undercover operations). Societies zote hizo zimeanzishwa na Jesuits Society (au Jesuits Order). Katika ngazi ya juu ya taasisi hizi (Inner circles) zinaripoti moja kwa moja kwa "Black Pope" (aka Superior General ) ambaye ndiye mkuu wa Jesuits Society. Kwa kuwa Jesuits Society in taasisi ya ndani ya Vatican, ina maana kwamba kiongozi wa kanisa Katholic (Pope) yeyote yule ni lazima awe mwanachama wa Jesuits. Kwa kuwa Jesuits wanafanya kazi (undercover) kwa niaba ya Vatican. Utagundua pia Jesuits ndio walianzisha uislam. Catholic and Islam have one goal, one purpose, one objectives (At the inner circles), ingawa waumini walio wengi hawajui kinachoendelea kama ilivyo kwa secret societies nyingi.
Ukitaka kujua zaidi jinsi wanavyofanya kazi fuatilia presentation hii (well referenced) Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power behind the power should remain exactly that-Secret. In this lecture, clear evidence is pr
Pia How Islam is connected to the New World Order Movement
madai mazito haya.hizi secret societies/societies with secrets,ni ant christ or pro-christ? Pope atakuwaje pro and ant-christ at the same time?
Utamjua kuwa ni pro au anti-christ kwa maneno na matendo yake, he can pretend to be pro-christ while in the actual facts he is anti-christ. The facts are here (1) Discoveries 08 - Episode 21 - Low Quality
(2) The Bible and the Bible alone are used to identify the Antichrist power. The little horn power of Daniel 7 with its twelve clear identifying features points to the only one who can qualify as Antichrist. Modern day deceptions regarding the little hor
(3) http://babylonmysteryreligion.com/The%20Mark.htm
Threds nyingine zinaboa.
tembelea Rosicrucian Salon - rosicrucians.orgroserection ndo nn tena.? upanga sehem gan..?
A password is needed ...
ondoa upuuzi wako wewe. Nyerere was never a freemansons. Na kuna watu wanaamini sana kuwa ndiyo maana hii nchi iliminywa sana, maana WB supports countries whose leaders are freemasonry, na if you do not become one of them they may take you out of power (among others na kama una natura resources) kama yanayotokea kwa gbagbo au gaddafi.
You need to dig about these secret society, who and how they take control of states, what they own kabla ya kuja na silly accusation zako hapa.