I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

mwl mwenzangu nikajua umeenda kwenye uhakiki wa matokeo ya form 4

Uhakiki wapi mwalimu mwenzangu, kule siasani kuna watu wagumu kuelewa kwa hiyo ninapojaribu kutumia mbinu shirikishi na vurumushi najikuta selo, nimerudi tuko pamoja
 
Hivi kumbe ulipigwa BAN tena!!! kama vipi tumuombe Invizibo akuwekee sticky siredi yako ya Urejeo ili kila mara unaporudi usipate shida ya kufungua mpya...

umeona eeeh ye kila mara lupango anawahudumiaje wana cc?huyu jamaa hawezi ni bora ajiuzulu abaki na heshima kuliko kuja kulazimishwa na wa cc

ndoa hazifungwa
talaka hazijatolewa
migogoro haijashughulikiwa kitambo
umri umemtupa mkono
kwa uzuri tu Baba V achia ngazi tunahitaji vijana kama mimi wenye ari ya kufanya kazi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Nimesharudi bibie, ondoa hofu...sasa kila kitu kitaenda sawa, nimemuomba Moderator POO ya ban angalau kwa wiki tatu kwanza nikamilishe ndoa yenu, naona wanga wameanza kuwawangia
 
Last edited by a moderator:
Huyu binti asione vyaelea akadhani ni mitumbwi..., nilikuwa namchungulia tu kupitia nondo za selo alivyokuwa anaruka sarakasi hapa na kanga yake moja. yule bado sana

tehe!tehe!tehe!tehe! Baba V,ukweli we ndiye Chit- chat ukitoka tu Inapwayaa
 
Last edited by a moderator:

Afu Mtambuzi kaniagiza nikuletee picha yako
 

Attachments

  • Mjasiriamwili.jpg
    25.2 KB · Views: 30
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…