I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Nyambaf dogo, wewe si unajisifia ni kidume cha mbegu kutwa kuwarukia dada za wenzio, tulia upate mashemeji wewe... teh teh teh.., nilikuwa sijui kumbe nguruwe kwa mchungu kwa mkuki binadamu eeh..!!??
shangaa na wewe mie nimedondokewa na mtoto Dena Amsi afu Vin Diesel anataka kuziba
 
Last edited by a moderator:
halooooo!embu mpe mijineno atulie maana hachelewi kusema eti alinitaka mwenyewe nikamkata

Hujambo binti.., naona ushaanza kukubaliana na hali halisi ee..!, vizuri... utazoea tu, maisha bila kuwa mpenzi wa Baba V yanawezekana. Utazoea tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom