Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Sitaweza pole sana nna apointment na bepari Bishanga!!!!
Kweli umefulia sana siku hizi.....
Last edited by a moderator:
Sitaweza pole sana nna apointment na bepari Bishanga!!!!
mr penda penda shikamoo.
Msalimie sana dada yangu Dena Amsi.....
Evelyn Salt namie nina apointment na Mamndenyi so ngoma droo!!!!!!!!!Sitaweza pole sana nna apointment na bepari Bishanga!!!!
hujambo Dena AmsiMwenye Dada hakosi shemeji Vin Diesel
Mr Rocky unatafutwa huku na shemeji halafu salamu hazijanifikia ujue?
Mwenye Dada hakosi shemeji Vin Diesel
Mr Rocky unatafutwa huku na shemeji halafu salamu hazijanifikia ujue?
Achana nae, nakuja tuback ready kwa safari yetu ya visiwa vya mbali, TUKAE MBALI NA WAJA lol
Kama ni uvumilivu basi kwetu tumejaliwa sana....linda ndoa yako dada hata kama ina ncha ya ndoano
I love u my cheupe dawa
Kuachana na huyu ni ngumu mno yale nimevumilia ni mengi mno kuliko yale yako mbele yangunampenda hata kama ni malaya/muhuni what ever they cancallHim nampenda sana na wala simwachi ha ha ha Bro taratibu nisijetoa siri za bed room aisee