I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Dada haya mambo ya kumuita Slave mbele yangu sijayapenda......anyways....ngoja nihame kiwanja

Nyambaf dogo, wewe si unajisifia ni kidume cha mbegu kutwa kuwarukia dada za wenzio, tulia upate mashemeji wewe... teh teh teh.., nilikuwa sijui kumbe nguruwe kwa mchungu kwa mkuki binadamu eeh..!!??
 
Last edited by a moderator:

Mie mbona sijamdandia mtu Baba V.....acha kunichafua...
Hivi wajua dada yangu kaolewa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom