Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
ban ya siku moja sijawahi onaakirudishwa jela tu hakuti kiti
ban ya siku moja sijawahi onaakirudishwa jela tu hakuti kiti
Visiwa vya sheli sheli babie, andaa ndege ya kukodi.....
Charter ndio mpango mzima.....ngoja nipigie simu vijana washughulikie.....tumchukue na nani mwingine
Niko busy navalentinika na Kipipi wangu
Sisi wawili tuuu, wengine watatubana bwaana hatutapumua vizuri lol.
Hii ni special kw ajili yetu....... Mr Rocky upoo, kaandike na hii kwenye gazeti lako.
Unanisumbua bana kunipigia kelele mimi niko na valentine wangu hapa Sasakwa Lodge Serengeti napata wine safi
Wewe KOKUTONA nendeni na fastjet yenu huko kimanzichana sijui mbagala mkapigwe na vumbi
Hivi unajua kuwa ummu kulthum anataka kushika kiti chako?
Nahisi alikuhonga tunda uachie madaraka na naamini utaachia tu
Mi yangu macho!
Anahitaji pumziko baada ya platozoom kupotea lol
akirudishwa jela tu hakuti kiti