mwl mwenzangu mie hujiuliza kwann watu wanamuandama mwenyekiti wetu sana??
je ni kwamba hawaitaki tena CC??
Sasa mie naomba kwanza kabisa niwe mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa jf(uwj), ili kuiongezea nguvu zaid CC??
BRAVO cc!!!
Afu Mtambuzi kaniagiza nikuletee picha yako
Mkuu Yegoo kuna jinamizi la ban limeniandama sana aisee
Mkuu,mie ni verified user niliye amua kubadili jina.
Tumeelewana?
Mkuu,mie ni verified user niliye amua kubadili jina.
Tumeelewana?
We mtoto wewe...!! ya Juliana Shonza hayo yatakushinda ohoo...!!!
Mi nakupenda,unajua wewe ni mzuri sana jamani,,nikubalie basi ili nimwambie Baba V tufunge ndoa,,wewe ni kama blue band kwenye mkate wangu,wewe ni kama bomu vitani kwa umuhimu wako,ni kama kalamu katika mtihani jinsi ninavyokuthamini sema ndio presha yangu ishuke nikubali mimi niwe wako
mie kule huwa nawapa na nawaambiaga kwamba wao sio wamiliki wa forum hivyo watuwache tupumuwe. ila dawa yao ni kuwapa makubwa liveUhakiki wapi mwalimu mwenzangu, kule siasani kuna watu wagumu kuelewa kwa hiyo ninapojaribu kutumia mbinu shirikishi na vurumushi najikuta selo, nimerudi tuko pamoja
Uwepo wako unahusika sana, inabidi iwe hivyo
Naona umedhamiria eeh..!!?? hivi inawezekana haya mazoezi ulikuwa unanifanyia mimi ee...!!! baado sana