I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Baba V punguza jazba
hii nchi imeshindikana wewe utaiweza?
Wakuiweza hii nchi ni LOWASSA only

Na kwanini umeondoa kipengele cha kukutumia private message kwako?

Nimegundua kuwa hii nchi sie wenye busara tukikaa kimya wapuuzi wataendelea kuiharibu nchi hii, sasa hivi nimeamua kunyooka nao tu hadi waelewe somo. Lowassa mwenyewe bado mchafu tu.., labda tusubiri hiyo tar. 18 tuskie ana lipi jipya..
 
Last edited by a moderator:
Baba V karibu tena aise. Duh na wewe BAN zimezidi bana mwenyekiti gani kila siku yuko jela. Kule hakukufai tushakuambia aise
Hivi una taarifa za kuanza kwa mahusiano kati ya KOKUTONA na Vin Diesel
Hebu nusa nusa usikie habari zao
Na za kwangu na Mamndenyi japo nampooza machungu tuu huku kujijini sio mengine
 
Last edited by a moderator:
Hahaha huyu Ankal anatusumbua bwana, anaenda kutibua huko tusikokujua halafu akirudi anagonga hodi hadi mlango wa chumbani kwake, sasa si fujo hizo!!!

Hahahaaa umenichekesha sana mkuu watu8!!
Hili nitalifungulia thread mpya kulipa uzito unao stahili!
 
Baba V karibu tena aise. Duh na wewe BAN zimezidi bana mwenyekiti gani kila siku yuko jela. Kule hakukufai tushakuambia aise
Hivi una taarifa za kuanza kwa mahusiano kati ya KOKUTONA na Vin Diesel
Hebu nusa nusa usikie habari zao
Na za kwangu na Mamndenyi japo nampooza machungu tuu huku kujijini sio mengine

Nimehamia kwa King'asti kwasasa.....inaonekana nitadumu nae zaidi
 
Last edited by a moderator:
Nimesharudi bibie, ondoa hofu...sasa kila kitu kitaenda sawa, nimemuomba Moderator POO ya ban angalau kwa wiki tatu kwanza nikamilishe ndoa yenu, naona wanga wameanza kuwawangia

na wanawanga kwelikweli,ila hatutetereki hata kidogo,mipango iko palepale na maandalizi yamepamba moto,harusi ni jumamosi ya wiki ijayo ila tunaogopa kutangaza mapema, mmoja wetu anaweza vunjwa kiuno kwa chuki binafsi za watu bure,mara loya sjui kafanya hiki,mara oooh tulikua na mkataba kila valentine tukutane,peeepeeeeepeeeeee kibao mradi watuharibie!ila wamekutana na kisiki cha mpingo!siskiii wala siambiwi!au sio Ruttashobolwa
 
Huo ndo msimamo wa mtoto wa kike, sio unakuwa kama Madame B....., naskia kakosa wa kutoka nae valentine kisa kila mume kamsakizia mwenzie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom