I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Mr Rocky unaandikia habari kwenye gazeti gani? Au chombo gani cha habari? Maana sikuelewi, mbona roho juu jamani? Baba V wa watu ndo katoka jela, hata kumsubiri apumue lol......Unafanyia kazi Aljazera?

Hebu thibitisha hizo habari wd mtoto..., eti...!!??
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky unaandikia habari kwenye gazeti gani? Au chombo gani cha habari? Maana sikuelewi, mbona roho juu jamani? Baba V wa watu ndo katoka jela, hata kumsubiri apumue lol......Unafanyia kazi Aljazera?


Nafanyia kazi kituo cha Chit Chat Broadcasting Corporation kama mwanzishi mwandamizi wa Gazeti la Chit Chat KOKUTONA na taarifa za hapa lazima zifike kwa mwenyekiti hata kabla hajakaa
copy kwa Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Baba V hivi sisi tujifunze nini kutoka kwako mwenyekiti!!!!!!
make dah! umezidi kila siku wewe au kuna kuna mod unamzunguka???
 
Last edited by a moderator:
Magazeti ya udaku hayo Baba V, pumzika mwaya wasikutie presha za bureee.
Mr Rocky ana hasira na mimi sbb nilimtoea nje kipindi kileee cha safari ya Tanga. Anataka kuniharibia sifa ya ngu ya utulivu
Mhhhh wivu sina ila kiroho kinauma ila kwa kipindi hiki sina wivu kabisa maana niko na Mamndenyi hapa nampooza


Ahaaaa ndiyo maaana......Je pia hiyo broadcast yenu inachagulia pia watu wapenzi wa kuwa nao.......

Inaangalia mahusiano yanayojitokeza na kuhakikisha kuwa yanarepotiwa vyema kwa mwenyekiti wetu Baba V maana si unajua alikuwa jela
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom