Hahahaha! Mshenga bana! Umemuona mpwa anajivinjari nini? Mpwa leo TANESCO wamempatia habari yake.
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata horror movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.
Hahahaha! Mshenga bana! Umemuona mpwa anajivinjari nini? Mpwa leo TANESCO wamempatia habari yake.
Naunga mkono HOJA YA BINAMU. Tafadhali zingatia ACCORDINGLY!
nilikuwa nataka kuuliza umepotea wapi? karibu shem
na wale wengine bado wamepanga foleni? hahaaaaaaaaa. Fidel toa belated advice bas.Hehehe majukumu mama si wajua tena yule mwenye mimba kajifungua
na wale wengine bado wamepanga foleni? hahaaaaaaaaa. Fidel toa belated advice bas.
Mpwa kama kuna kitu kinawapa jeuri kubwa hawa watu ni ndoa, mimi ndio maana ninaishi na mtu mwaka nne sasa hata discussion ya kuhusu ndoa siruhusu ianze maana visa kama hivyo hawezi kuleta kwenye u boifrend na ugelfrend.
na wale wengine bado wamepanga foleni? hahaaaaaaaaa. Fidel toa belated advice bas.
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata horror movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.
Hahaha! Leo Carmel utakuwa umefurahi sana. Pamoja na uchoyo wako hicho kidude cha thanks leo kimekutambua. Mi mwenyewe binafsi umenigongea sita. Ukigonga na kwenye hii posti itakuwa ya saba. Itakuwa rekodi. Mpwa Geoff naye kagonga sana leo. Hahaha! Ngoja tuone mwenye bahati ya kugongewa na mpwa wangu Fidel. Kwenye mada kama hizi huwa hakionagi. Zile za kumegana na za ulabu, lol!!! anakigonga sana (Sorry nimetoka nje ya perimeter! Hahaha!)
nimekugongea ya saba binamu. mi huwa sizibanii ila basi tu. leo kama mod angekuwa kaziacha free ningezigonga hadi ufurahi, ila mara zitokee mara zipotee. ila usijali, kwa ajili ya GeOF KILA ANAEONGEA POINT YA KUMRUDISHA KIMWANA ZIZINI ANAKULA SENKS.Hahaha! Leo Carmel utakuwa umefurahi sana. Pamoja na uchoyo wako hicho kidude cha thanks leo kimekutambua. Mi mwenyewe binafsi umenigongea sita. Ukigonga na kwenye hii posti itakuwa ya saba. Itakuwa rekodi. Mpwa Geoff naye kagonga sana leo. Hahaha! Ngoja tuone mwenye bahati ya kugongewa na mpwa wangu Fidel. Kwenye mada kama hizi huwa hakionagi. Zile za kumegana na za ulabu, lol!!! anakigonga sana (Sorry nimetoka nje ya perimeter! Hahaha!)
Wapi G kasema kimwana hamtaki? bado una hangover nini Fidel.Hivi Geoff kama huyo hakutaki kwa nini usitafute mwingine uwe nao wawili? Kisha ukachuja yupi mwenye penzi la kweli?
nimekugongea ya saba binamu. mi huwa sizibanii ila basi tu. leo kama mod angekuwa kaziacha free ningezigonga hadi ufurahi, ila mara zitokee mara zipotee. ila usijali, kwa ajili ya GeOF KILA ANAEONGEA POINT YA KUMRUDISHA KIMWANA ZIZINI ANAKULA SENKS.[/QUOTE]
hahahahah!nimekubali nimekubali.wewe mwenzetu kabisa wewe.nitakupa kadi ya uanachama.
hivi unatumia BIA GANI?............muhudumu leta taska kwa mrembo hapa...!(ooh,off-topic?NO)