Lyaule Kitundu
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 758
- 1,029
Na kweli broda, acha na mie ntafute mbinu, kwani wewe uweze unanini...Week end hii broda huwezi jua!
Acha nimsaidie.. kwa anaekutumia
yap, kids skul, kaka(hboy) likizo, mhhh nikaribishe ulipo bac uniliwaze jamani....
Kwani wewe ni shoga?Au ID yako haimaanishi jinsia yako?If wewe ni shoga sifagilii TiGO!wewe mtu mzima si lazima niandike hapa!
do u guess that Marytina ntakuwepo kwenye kundi la kondoo wapotevu?Nina ratiba ya ibada Jumapili....Jumamosi natembelea kondoo wapotevu...huwezi jua ati....leo utawala binafasi!
haya bwana....Masa wewe wkend yako ipoje?
polpole sana ..same here . Nyamayao ikifika weekend mawazo tele
ukifanikiwa zaidi ya mmoja nisogezee manWeka bidii!
dhambi zote naweza kuacha ila hii sidhaniKuwarudisha kundini hao....na kufunga zile nguvu za ibilisi na giza
pol
nawe pia FL, mr kasafiri? but c upo na baby anakupeti peti? mie nipo alone aise.
.......Nyamayao kauli nzito hii, ngoja nitoe miwani nisome vizuri....lol...
mapigo ya moyo yameenda fasta kweli, lol..
hebu acha utani wako bana..............utaniua jamani...
Yeees.. cheki dada langu hilodhambi zote naweza kuacha ila hii sidhani
[TABLE="class: file_view"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
tuache masihala nyamayao nshahisi ntakuhitaji, ondoa shaka..