I'm into you....

I'm into you....

Kwani wewe ni shoga?Au ID yako haimaanishi jinsia yako?If wewe ni shoga sifagilii TiGO!

Umeenda mbali sana! It can be for drinks ...outing etc etc etc vipi tena mkubwa?
 
Kuwarudisha kundini hao....na kufunga zile nguvu za ibilisi na giza
dhambi zote naweza kuacha ila hii sidhani
[TABLE="class: file_view, width: 795"]
[TR]
[TD]
canstock4144975.png

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
.......Nyamayao kauli nzito hii, ngoja nitoe miwani nisome vizuri....lol...
mapigo ya moyo yameenda fasta kweli, lol..
hebu acha utani wako bana..............utaniua jamani...

ctanii, mbona unataka kuchezea bahati, haiji mara mbili eti., au unataka mie nikukaribishe nikuliwaze?
 
Back
Top Bottom