Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kindly enlighten me on the meaning of SIGNATURE! If our president writes "Jakaya M. Kikwete" would you call it a siganature?
OHata wewe saini yako unaweza kuandika tu Tulimumu, je unaijuwa saini ya Obama?
Kwani kuna nini?
Hivi nini maana ya sahihi? Mimi nikiangalia naona ni majina mawili, la kwanza na la mwisho lile la katikati kaliandika kwa ufupi yaani kwa kutumia herufi ya kwanza ya jina Kambarage hivyo ukiangalia inasomeka "Julius K. Nyerere" Sasa majina hayo ndiyo sahihi? Kwakuwa tarehe za kuandikwa ni tofauti huenda tofauti ndogo zisikosekane. Katika hilo mimi nafikiri la muhimu ni kuangalia content kama ni valid badala ya kudeal na sahihi tu
Huyo mpendwa wako jinsi unavyo mtetea! Nadhani kama angejuwa hajatimiza ile idadi ya wanne angekuchukua uwe mke hata kama umri wako uko jioni.Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.
Huyo mpendwa wako jinsi unavyo mtetea! Nadhani kama angejuwa hajatimiza ile idadi ya wanne angekuchukua uwe mke hata kama umri wako uko jioni.
Weweeeee acha kabisa mkuu!!! Ni kati ya miradi ya awamu ya tatu ikiongozwa na R. Mstaafu B.W. Mkapa. Sasa ona kwa udhaifu na ulegelege imejengwa kiwango duni!!!! Nilitembelea pale nimechoka!!!!! Inabidi waitwe international auditing firms kukagua UDOM!!!! Chama Cha Majambazi!!!
Kindly enlighten me on the meaning of SIGNATURE! If our president writes "Jakaya M. Kikwete" would you call it a siganature?
Umedandia tren kwa mbele hujui ukinenacho. Utamfananisha Mwalim na Jk? Amefanya nini kitaifa for individual tanzanian cha kuweza kulinganisha? Umezaliwa jana na uelewa wako ni mdogo sana. Topic ni juu ya forged signature kwenye hati ya muungano na wewe unaleta nyuzi out of topic.