Ndugu zanguni, tunacho shuhudia NI JAMBO LA KIHISTORIA KWA TAIFA LETU. Tuweni wakweli katika hili. Hapa, sisi wazanzibari tumefika kila kipembe cha dunia hii kutafuta mktaba wa muungano. Tumeiuliza serikali ya Zanzibar kupitia Korti. Hatukupata hiyo karatasi. Wakasema iko Daressalaam. Tumekwenda Dar, kuitaka serikali watuonyeshae, wakasema ipo UN. Tumekwenda Un tukaonyeshwa karatasi ambazo ni tafauti kabisa na mkataba na ndio hiyo waliosaini Mwalimu Nyerere na Mh. Pius Maekwa. Sisi tunajuwa haipo na kwa kuwa wazanzibari wengi wanalielewa hili, wengi wanajua kuna usanii wa hali ya juu ukiongozwa na Mh. Sitta. Lakini Sitta anakumbuka sana alipokuja Zanzibar na rasimu yake mchwara na ndio sabau ya rasimu ya Mh. Warioba.Twendeni, safari ni ya kihistoria na ni ndefu saaana.