Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Kindly enlighten me on the meaning of SIGNATURE! If our president writes "Jakaya M. Kikwete" would you call it a siganature?

Hata wewe saini yako unaweza kuandika tu Tulimumu, je unaijuwa saini ya Obama?
 
bonge la Tamthilia, Waanidhi wa riwaya kaeni mkao wa kula.
 

Weweeeee acha kabisa mkuu!!! Ni kati ya miradi ya awamu ya tatu ikiongozwa na R. Mstaafu B.W. Mkapa. Sasa ona kwa udhaifu na ulegelege imejengwa kiwango duni!!!! Nilitembelea pale nimechoka!!!!! Inabidi waitwe international auditing firms kukagua UDOM!!!! Chama Cha Majambazi!!!
 
Hata wewe saini yako unaweza kuandika tu Tulimumu, je unaijuwa saini ya Obama?
O

Okey mkuu nimeipata: Signature😛erson's name or intials or mark used in signing, Noun:Word or phrase used as name of person, place, or thing, substantive Name: Word by which individual person, animal, place, or thing, is spoken of or to
 
Mwigizaji wa hiyo sahihi hakuwa makini ndo maana hayo yamejitokeza.
 
Hivi nini maana ya sahihi? Mimi nikiangalia naona ni majina mawili, la kwanza na la mwisho lile la katikati kaliandika kwa ufupi yaani kwa kutumia herufi ya kwanza ya jina Kambarage hivyo ukiangalia inasomeka "Julius K. Nyerere" Sasa majina hayo ndiyo sahihi? Kwakuwa tarehe za kuandikwa ni tofauti huenda tofauti ndogo zisikosekane. Katika hilo mimi nafikiri la muhimu ni kuangalia content kama ni valid badala ya kudeal na sahihi tu

Mkuu ingekuwa ni kama hivyo unavyosema kungekuwa hakuna maana ya sahihi,na ndio maana kuna watu wengi wanakwamishwa mambo fulani hasa kwenye taasisi za fedha pale wanaposhindwa kutia sahihi ile aliyoweka mwanzoni!siku ya kwanza anaweka sahihi ile ya mcharango kwa sifa ili aonekane msomi,kasheshe itakuja pale anapoambiwa airudie
 
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amekiri “kuchezewa” kwa saini ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na sehemu ya saini ya aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika, Pius Msekwa zilizopo kwenye hati ya sheria ya kuridhia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Alisema katika saini ya Nyerere kumeongezwa herufi “us” kwa kompyuta na katika sehemu ya saini ya Msekwa kumeandikwa neno “Msekwa” kwa kompyuta, jambo ambalo ni makosa. Sitta alisema walioongeza maneno hayo ni wafanyakazi wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuona sehemu ya maandishi kwenye saini hizo hayasomeki, lakini walifanya makosa.

Source: Gazeti la Mwananchi
 
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.
Huyo mpendwa wako jinsi unavyo mtetea! Nadhani kama angejuwa hajatimiza ile idadi ya wanne angekuchukua uwe mke hata kama umri wako uko jioni.
 
Anatudanganya.Hata K iko tofauti kabisaa.K iliyo kwenye sahihi ya mwalimu "Fekei" ni ile ya kujifunzia mwandiko, na wala sio ya mashine.Kinachofanyika wanataka kuhalalisha kwamba hiyo hati ni sahihi,wakati inavyoelekea ni ya kubumba.
 
Weweeeee acha kabisa mkuu!!! Ni kati ya miradi ya awamu ya tatu ikiongozwa na R. Mstaafu B.W. Mkapa. Sasa ona kwa udhaifu na ulegelege imejengwa kiwango duni!!!! Nilitembelea pale nimechoka!!!!! Inabidi waitwe international auditing firms kukagua UDOM!!!! Chama Cha Majambazi!!!

Asiye na maana haambiwi maana, hiyo ilikuwa ni ahadi ya kampeni ya Kikwete na akaitimiza immediately alipopata Urais tu.
 
kweli ukifuata NYUki unatafuta nundu sasa nyuki wamefunguliwa Hapo ni mwendo wa nundu tu.ingekuwa zile enzi za analog tusingeyajua Haya.ila naenjoy sanaaaaa leteni yote yaliyofichika uvunguni.ila sign ya PILI inasadifu
 
Ndugu zanguni, tunacho shuhudia NI JAMBO LA KIHISTORIA KWA TAIFA LETU. Tuweni wakweli katika hili. Hapa, sisi wazanzibari tumefika kila kipembe cha dunia hii kutafuta mktaba wa muungano. Tumeiuliza serikali ya Zanzibar kupitia Korti. Hatukupata hiyo karatasi. Wakasema iko Daressalaam. Tumekwenda Dar, kuitaka serikali watuonyeshae, wakasema ipo UN. Tumekwenda Un tukaonyeshwa karatasi ambazo ni tafauti kabisa na mkataba na ndio hiyo waliosaini Mwalimu Nyerere na Mh. Pius Maekwa. Sisi tunajuwa haipo na kwa kuwa wazanzibari wengi wanalielewa hili, wengi wanajua kuna usanii wa hali ya juu ukiongozwa na Mh. Sitta. Lakini Sitta anakumbuka sana alipokuja Zanzibar na rasimu yake mchwara na ndio sabau ya rasimu ya Mh. Warioba.Twendeni, safari ni ya kihistoria na ni ndefu saaana.
 
Umedandia tren kwa mbele hujui ukinenacho. Utamfananisha Mwalim na Jk? Amefanya nini kitaifa for individual tanzanian cha kuweza kulinganisha? Umezaliwa jana na uelewa wako ni mdogo sana. Topic ni juu ya forged signature kwenye hati ya muungano na wewe unaleta nyuzi out of topic.

mwambie huyo nyerere alijenga foundation imara inayoweza kuhimili ghorofa mia na zikadumu miaka mia jk kajenga ghorofa 10 zitakazo bomoka mara2 baada ya kumalizika kujengwa
 
Back
Top Bottom