Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.

Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.

Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani

IMG_20210813_215430.jpg


IMG_20210813_215315.jpg


IMG_20210814_070214.jpg


IMG_20210814_070229.jpg


IMG_20210814_070237.jpg
 
Ni kweli ukiangalia tukio zima, utagundua kuwa Polisi walitumia nguvu nyingi kumdhibiti uyo bwana mdogo, hata hivyo sio kweli kuwa Askari alimkanyaga shingoni. Ukiangalia picha hiyo, jamaa alikua kabanwa Kati ya mguu wa Askari na Tairi la gari.

Nimeona views mbalimbali za picha hiyo, jamaa hakukanyagwa shingoni lakin Kama Doso amechezea kweli kweli. Pole yake.
 
Ungeweka video ingekua ni ushahidi mzuri ulioshiba sabab Apo inawezekan wamemdaka wakt anatak kuanguka lakin picha ikapigw angle mbaya ikatengeneza scenario tofaut kabis
Huyo raia kaachiwa upenyo ndio anasepa, hakuna habari ya kutaka kuanguka hapo.
 
Ni kweli ukiangalia tukio zima, utagundua kuwa Polisi walitumia nguvu nyingi kumdhibiti uyo bwana mdogo, hata hivyo sio kweli kuwa Askari alimkanyaga shingoni. Ukiangalia picha hiyo, jamaa alikua kabanwa Kati ya mguu wa Askari na Tairi la gari. Nimeona views mbalimbali za picha hiyo, jamaa hakukanyagwa shingoni lakin Kama Doso amechezea kweli kweli. Pole yake.
Kichapo kilitembea acha tu
 
Back
Top Bottom