Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Kina Diamond platnumz wako wapi jamani kukemea haya ila ilivotokea marekani alikemea justice for nn sijui hapa kimyaa afu tuzo zikija apigiwe kura aisee
 
Hivi tuna jeshi la polisi au tuna takataka?
Tz tuna Aina nyingi za takataka nyingine ni zile zinajificha nyuma ya keyboard na kuita wenzao takataka Generally hizo zote ni takataka
 
Kwa uzushi huu na kupindisha ukweli mnataka muungwe mkono na kundi la wananchi!!!never ever ndugu zangu.

Hii picha tofauti na mnavyofikiri inawapa mileage kisiasa inazidi kuwavua nguo,kwamba nyinyi ni watu mnaopenda kukuza mambo,ili kuzua taharuki.

Hatushangai maana ndio msingi wa chama umejengwa huko,kwenye mizuka na mikurupuko.
 
Ila sishangai kwa mapolisi yetu... Pengine hata hayajui katiba ni Nini.
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

IMG_20210814_070214.jpg
 
Kati ya hao wawili ni nani anavuruga amani?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Safi Nahis umegundua kitu Mkuu pia Anaetaka kuvuruga amani kwa kuwatumia Vijana wasio na hatia lazm adhibitiwe ipasavyo,,, ila acheni propaganda zenu za ajabu et " kamkanyaga shingoni" iyo picha no Kama ya kuvizia kabisa na inaonekana yote kw yote wananchi tudai haki kwa njia zinazofaa tusiharibu amani ya nchi pia mitandao ya kijamii itumike vizuri sio kupanda chuki kiasi icho maan ipo siku iyo chuki itaota na kunawiri.
 
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.

Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.

Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani

View attachment 1891399

View attachment 1891400

View attachment 1891605

View attachment 1891606

View attachment 1891607
Aisee mbona mnakuza sana mambo?
Huo mguu umemkanyaga huyo dogo kweli?
Hivi unajua maana ya kukanyaga wewe?
Kati ya mguu na shingo ya huyo bwana kipi kipo juu ya kingine?
 
Asee afadhali mimi nilidhani macho yangu yana marueruwe maana mimi nimeona aliekaa ameweka mguu nyuma ya shingo na alielala kaulalia kwa shingo huo mguu au labda kiswahili changu ndio kibovu kulalia na kukanyaga nimeshindwa kutofautisha anyway hakuna kitu kibaya kama mapenzi,mahaba yakizidi halali itaitwa haramu na haramu itaitwa halali...be careful when you walk through these social media uchochezi sio dili...na watu wanachangia kama hawaoni kilichoandikwa ni tofauti na picha...ok nje ya mada< nimekumbuka kuna wanyama wanahama kila mwaka kutoka Kenya kuja kuzalia Tanzania ila nimewasahau jina!
So alikuwa kamwekea mto Ili asiumie chini
 
Ulitaka amkumbatie na ambusu eti?

Kamsaidie hadharani unajuaje kuwa polisi amekuelewa?

Mvunja nchi ni mwananchi
 
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
Kuna kipindi tulikuwa tunawaita mbwa wa CCM...

Mbwa akitupiwa kipande cha mfupa (SI NYAMA!!!) then akaambiwa kamata, atakimbiza kuliko hata mwenye mbwa aliyekula nyama na kumtupia mfupa!
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
 
Polisi wengi huwa ni fyatu. Hasa wakiwa na mibuti yao ile ya mtumba.

Anakupa show kali halafu akitoka hapo anaenda kulala kwenye kijumba chenye kutu.

Roho yake kwatuuu! Kwenye kibanda cha kutu. [emoji16][emoji16][emoji16]

Kazi zingine ujuha mtupu! Unawafanyia kazi wanasiasa kwa ujira mduchu na mazingira duni huku wao wanakula bata na mafao ya taifa.

Ona kama huyo, sijui kavaa raba-mtoni zile... kheee [emoji16][emoji16]
Si ajabu hajui familia yake jioni wanakula nini!
 
Back
Top Bottom