Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.

Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.

Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani

View attachment 1891399

View attachment 1891400

View attachment 1891605

View attachment 1891606

View attachment 1891607
Huyo ameiga Kwa yule was USA alivyomfanyia George Floyd. Hapo huyo mwananchi anaweza kupoteza maisha
 
Hii Kazi kwa kweli nilitolea nje mara 4 hata uzao wangu Katu sitoruhusu uwe sehemu ya dhuluma hadi katiba mpya itakapopatikana kuwatenganisha wasiwe chini ya wanasiasa.
Unamtesa mtza mwenzake kulinda maslai ya mwanasiasa ambae anatembelea kiyoyozi anaishi kwenye kiyoyozi ukitoka hapo unaenda lala kwenye nyumba ya Bati lenye kutu,ukipokea order bila kureasoning.
Sema hukuwa na vigezo
 
Nikiangalia hzo picha zinazosema mtu kakanyagwa shingo na mguu wa mtu mwenye kilo Zaid ya 80 na jicho la mtu Alie kanyagwa liko limetulia tu hapo ndipo nafikiria upeo wa watu hao ulivyo mdogo
 
Hajamkanyaga bali uyo kalalia kiatu Ndio maan kisogo cha jamaa hakijagusa chini, ingekua kamkanyaga uo mguu ungekua juu ya shingo na ata kichwa Cha uyo jamaa kingegusa chini moja kwa moja
Hata kama hajamkanyaga wewe unaona ni sahihi kumfanyia hivyo mtu ambaye hana makosa ?
 
Hata kama hajamkanyaga wewe unaona ni sahihi kumfanyia hivyo mtu ambaye hana makosa ?
Kwani kamfanyaje Apo Mkuu naomba video ili nione jinsi alivomkanyaga shingoni na unyanyasaji mwingine aliofanyiwa uyo mwamba sio kusambaza picha za kuotea ambazo lengo lake kuu ni kuonewa huruma na kusambaza propaganda za uongo
 
Safi Nahis umegundua kitu Mkuu pia Anaetaka kuvuruga amani kwa kuwatumia Vijana wasio na hatia lazm adhibitiwe ipasavyo,,, ila acheni propaganda zenu za ajabu et " kamkanyaga shingoni" iyo picha no Kama ya kuvizia kabisa na inaonekana yote kw yote wananchi tudai haki kwa njia zinazofaa tusiharibu amani ya nchi pia mitandao ya kijamii itumike vizuri sio kupanda chuki kiasi icho maan ipo siku iyo chuki itaota na kunawiri.
Unajitia busara wakati kichwani umejaza mavi ya punda.

Wewe unaona huyo katenda kosa gani mpaka afanyiwe huo ushenzi ?
 
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.

Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.

Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani

View attachment 1891399

View attachment 1891400

View attachment 1891605

View attachment 1891606

View attachment 1891607
Kwani shida nini hapo.
Huyo mhalifu kalalia mguu wa askari kama mto kwani hapo huoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajitia busara wakati kichwani umejaza mavi ya punda.

Wewe unaona huyo katenda kosa gani mpaka afanyiwe huo ushenzi ?
😂😂😂😂😂 Hasira za nin Mkuu yan nd ivyo ivyo mnatumia Hasira kudai katiba mpya bila hoja za msingi #Acheni kusambaza propaganda ili muonewe huruma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hasira za nin Mkuu yan nd ivyo ivyo mnatumia Hasira kudai katiba mpya bila hoja za msingi #Acheni kusambaza propaganda ili muonewe huruma
Acha upumbavu.

Kama unafurahia mtu kuonewa namna hiyo ni wewe labda unanufaika binafsi na huo uonevu.
 
Acha upumbavu.

Kama unafurahia mtu kuonewa namna hiyo ni wewe labda unanufaika binafsi na huo uonevu.
sawa m mpumbavu ila ushahidi toshelevu ni muhimu sio picha za kuotea zenye maudhui ya kusambaza propaganda mbovu mbov ambaz hazipo kiuhalisia Mkuu
 
Ni kweli ukiangalia tukio zima, utagundua kuwa Polisi walitumia nguvu nyingi kumdhibiti uyo bwana mdogo, hata hivyo sio kweli kuwa Askari alimkanyaga shingoni. Ukiangalia picha hiyo, jamaa alikua kabanwa Kati ya mguu wa Askari na Tairi la gari.

Nimeona views mbalimbali za picha hiyo, jamaa hakukanyagwa shingoni lakin Kama Doso amechezea kweli kweli. Pole yake.
Hawa chadema ni vilaza sana na wanafikiri watu wote tuko kama wao. shwanezzzzzzzzzz
 
sawa m mpumbavu ila ushahidi toshelevu ni muhimu sio picha za kuotea zenye maudhui ya kusambaza propaganda mbovu mbov ambaz hazipo kiuhalisia Mkuu
Nyoka akimsaidia Samaki anayetaka kuzama

IMG_20210814_070214.jpg


IMG_20210814_070237.jpg
 
Back
Top Bottom