Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Kwani huyo mtu akifa kwa kufanyiwa huo unyama utanufaika nini ?
Binadamu afe kirahisi ivyo mkuu kwa kukamatwa na polisi au labda niambie kwa ushahidi toshelevu hapo ni unyama gani aliofanyiwa Apo uyo mwamba
 
Uongo saa nyingine unaaibisha. Huyo amemnyanyua na wala si kukanyaga! Acha kudanganya
Na hapa anamsindikiza sio?? Ni mpuuzi tu narudia ni MPUUZI tu anayettea ukatili wa Polisi

IMG_20210814_070237.jpg
 
Binadamu afe kirahisi ivyo mkuu kwa kukamatwa na polisi au labda niambie kwa ushahidi toshelevu hapo ni unyama gani aliofanyiwa Apo uyo mwamba
Kuanzia kukamatwa kwake kapigwa sana na hakuwa na kosa lolote.

Anaingia kwenye gari nako kama unavyoona hapo.

Wewe unafikri kufa ni jambo gumu ?
 
Polisi anaishi uraiani, uraiani kuna wananchi wenye kisirani
Uraiani kuna wananchi maiti. Kama wangekuwa na kisirani huyu polisi angekuwa anaandikwa jina halafu linaishia na R.I. P
 
Kuanzia kukamatwa kwake kapigwa sana na hakuwa na kosa lolote.

Anaingia kwenye gari nako kama unavyoona hapo.

Wewe unafikri kufa ni jambo gumu ?
Weka ushahidi wa kupigwa ili tuone uhalisia wa Jambo ilo maana Maneno yanaweza kuwa Kama Fantasia kwa Sana tu kwa kufata mkumbo wa mwenezi wa propaganda izo sababu tu wew ni moja ya mfuasi
 
Hii kazi ukiifanya unakuwa mkatili...yaani mpaka unaogopa urafiki na polisi
 
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
Wewe huna akili,kwani mtu anatakiwa aue akiwa analipwa shingapi!!!

Hata wangelipwa hiyo 1m kama wewe bado sio halali kuua.
Kwavile wanahangaika na viazi kama nyinyi,ndio maana wanawatengua nyonga sometime.
 
Kuanzia kukamatwa kwake kapigwa sana na hakuwa na kosa lolote.

Anaingia kwenye gari nako kama unavyoona hapo.

Wewe unafikri kufa ni jambo gumu ?
Uliishawahi kukutana na mtu aliyepigwa sana mdogo wangu!!!
 
Lakini uyo police nae ni binadamu brutality ni ukosefu wa akili binadamu mwemzako unamfanyia ivyo
Ukosefu wa akili ni kuamini huyo mtu kakanyagwa kichwa,sijui shida ni tecno au msongo wa mawazo macho hayafanyi kazi.
 
Back
Top Bottom