Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Acha kupotosha hajamkanyaga shingoni...shingo ya huyo mharifu ipo juu ya kiatu/mguu wa askari
 
Ni kweli ukiangalia tukio zima, utagundua kuwa Polisi walitumia nguvu nyingi kumdhibiti uyo bwana mdogo, hata hivyo sio kweli kuwa Askari alimkanyaga shingoni. Ukiangalia picha hiyo, jamaa alikua kabanwa Kati ya mguu wa Askari na Tairi la gari.

Nimeona views mbalimbali za picha hiyo, jamaa hakukanyagwa shingoni lakin Kama Doso amechezea kweli kweli. Pole yake.
iwavyo vyovyote vile Kudai katiba ni kosa mpaka atendewe hivyo? aina ya kosana na aina ya ukamataji vinafanana?
 
Haya majitu yamefanikiwa kututoa kwenye jitihada za kupambana na maisha na kufanya tuanze kujadili mambo Yao ya kuwatengenezea maisha wananchi tuwapuuze tuachane na harakati zisizokuwa na manufaa KWETU tuwaachie wajadili wenyewe sisi tufanye KAZI naamini MWISHO wasiku njaa itawarudisha kundini.
 
Bahati mbaya sana sana Wanaccm wengi ndio wanaongoza kwa kukopa
 
Safi Nahis umegundua kitu Mkuu pia Anaetaka kuvuruga amani kwa kuwatumia Vijana wasio na hatia lazm adhibitiwe ipasavyo,,, ila acheni propaganda zenu za ajabu et " kamkanyaga shingoni" iyo picha no Kama ya kuvizia kabisa na inaonekana yote kw yote wananchi tudai haki kwa njia zinazofaa tusiharibu amani ya nchi pia mitandao ya kijamii itumike vizuri sio kupanda chuki kiasi icho maan ipo siku iyo chuki itaota na kunawiri.
Hapo nadhani tusiangalie tu sijui mguu shingoni au kwenye nini. Tufikirie haya yanayotokea yana maana gani. Sasa muhimu ni kudhibiti hizi nia mbaya.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.

Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.

Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani

View attachment 1891399

View attachment 1891400

View attachment 1891605

View attachment 1891606

View attachment 1891607
acha uongo bhana, huyo mtu hapo hajakanyagwa shingoni, huo mguu upo chini ya shingo huyo muharifu kaulalia huo mguu
 
Alafu ukitaka ufanye ujambazi kwa amani unavaa T.shirt ya Katiba mpya au jezi ya CDM UKIKAMATWA WAAMBIE POLISI NADAI KATIBA MPYA
 
Pichani Ni Mwanachama wa @ChademaTz Deus Soka (@DEUSNOWOFFICIA1) Akifanyiwa Ukatili wa hali ya Juu na Jeshi la Police @tanpol kwa kukanyagwa Shingo na Sehemu nyingine za mwili wake kwa tuhuma za Kuvaa T-shert yenye Maandishi ya #KatibaMpya!!
#freeDeus
#freeDeus
#MboweSioGaidi https://t.co/FvdVYvldfr
Kwanini unapotosha,ilitosha tu kuandika amefanyiwa ukatili(kwa jinsi wewe ulivyoona) lakini unapotosha kakanyagwa na picha tunaiona kabisa amelalia mguu upo nyuma ya shingo...andiko lako na utetezi wako unapoteza maana kabisa kwa kupotosha wazi namna hiyo
btn: hakuna mahali duniani mhalifu anabembelezwa ukikaidi amri halali ya mamlaka utatendwa kadri ya ukaidi wako
 
Una uhakika?
 
Kwamba watu hawaelewi nini maana ya kukanyaga? Mtu anajitahidi kuandika uongo na huku picha inaonyesha tukio? Too bad jamaa ni verified account, tuliamini verified anakua extra careful kuwasilisha maoni yake lakini daah.

Comfortably 'askari kamkanyaga shingoni' picha inaonyesha mguu wa askari umelaliwa. Tukaambiwa chadema ni kiwanda cha uongo
 
Back
Top Bottom