Unaweza kuwa na shida zako flan hiv.si jui wapi niliposema amekanyagwaWewe hapo umeona amekanyagwa?
Unaweza kuwa na shida zako flan hiv.si jui wapi niliposema amekanyagwaWewe hapo umeona amekanyagwa?
Polisi huyu ni mwema sana, amemwekea mwalifu viatu vyake amelalia kwa raha yake.Hajakanyagwa ila amelalia viatu. Huruma ya ajabu!Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
Hata kama kitendo kinachofanyika sio cha kiungwani, hupaswi kupotosha jamii kwa kile kinachoendelea. Mguu upo chini ya shingo ya huyo unayesema ni raia. Ukiangalia vizuri shingo ya huyo raia ipo juu kuliko sehemu ya mbele ya mguu wa askari. Kama unabisha angalia kola ya huyo unayemwita raia.... na kisgino cha polisi. Hakuna mahusiano na kile ulichokisema. Punguza jazba
Ndio maana Leo Kama kuku wenye mdondo maninaUtii bila shuruti ni zawadi iliyotukuka
Atakula jeuri yake.
Kawaida msiba usikie kwa jirani. Omba usikufike.Utii bila shuruti ni zawadi iliyotukuka
Atakula jeuri yake.