Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Polisi huyu ni mwema sana, amemwekea mwalifu viatu vyake amelalia kwa raha yake.Hajakanyagwa ila amelalia viatu. Huruma ya ajabu!
 
 
Si anaiga wale askari wa marekani walioua George Floyed, labda naye anafikiri video itavuma dunia nzima
 
Halafu umwambie huyo mtuhumiwa hapo leo aungane na Watanzania kuwasikitikia wale waliopigwa chuma pale Salender,labda iwe tena kwa mtutu wa bunduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…