TREE OF LIFE FOUNDATION
Member
- Aug 15, 2022
- 21
- 51
uttoh2002, miti inekatwa Jumamosi usiku, je ni manispaa gani hufanya shughuli zake usiku?
Tayari tumewajulisha wenzetu wa Baraza la Mazingira NEMC na pia leo jumatatu tutaonana na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kinondoni.
Mkurugenzi kabariki hayo,washachukua hela ya bango,sema wanatambua ni kosa ndiomaana wamekata usiku 🙏uttoh2002, miti inekatwa Jumamosi usiku, je ni manispaa gani hufanya shughuli zake usiku?
Tayari tumewajulisha wenzetu wa Baraza la Mazingira NEMC na pia leo jumatatu tutaonana na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kinondoni.
Ila GT mimi naumiaga sana miti ikikatwa. Napenda sana miti na misitu. Hawa watu hawajafanya vizuri.Je mnachukua hatua gani? au mnakemea tu humu JF na ndio basi tena?
Ni sahihi kabisa,mtu anahangaika kutunza mti kwa miaka kibao,halafu mwingine anakuja kuukata kwa dakika tu!Ila GT mimi naumiaga sana miti ikikatwa. Napenda sana miti na misitu. Hawa watu hawajafanya vizuri.