PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Msukuma gani anaumia miti kukatwa? Msukuma akiona miti anajikuta tayari amekumbatia shoka bila kujua limemfikiaje mikononi.Ila GT mimi naumiaga sana miti ikikatwa. Napenda sana miti na misitu. Hawa watu hawajafanya vizuri.