PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Jun 26, 2023 #21 Maghayo said: Ila GT mimi naumiaga sana miti ikikatwa. Napenda sana miti na misitu. Hawa watu hawajafanya vizuri. Click to expand... Msukuma gani anaumia miti kukatwa? Msukuma akiona miti anajikuta tayari amekumbatia shoka bila kujua limemfikiaje mikononi.
Maghayo said: Ila GT mimi naumiaga sana miti ikikatwa. Napenda sana miti na misitu. Hawa watu hawajafanya vizuri. Click to expand... Msukuma gani anaumia miti kukatwa? Msukuma akiona miti anajikuta tayari amekumbatia shoka bila kujua limemfikiaje mikononi.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jun 26, 2023 #22 Aise mbaya sana,alafu kuna mijitu imekaaa tu,viongozi wa mkoa nk Wamekaaa tu kimya Ova
M Mlamba asali JF-Expert Member Joined Dec 11, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,270 Jun 26, 2023 #23 Wapi picha , usikute umenyimwa tenda ya matangazo unakuja kupika majungu hapa
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Jun 26, 2023 #24 Kwa hiyo tangazo lao lingewekwa juu ya mti?