Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mpo wengi sana brain washed na huo upumbaf.Soma, tafakari, ndio upost. Huu
Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.
Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha vipi kwamba wana uwezo wa kuua kila asiye wa hiyo dini, maana huu ugaidi tunaushuhudia leo na choko choko zote hizi zinafanywa na waislamu, it's fact.
View: https://x.com/realMaalouf/status/1850249916842389618
Wapi amepinga mashoga? Hufukuzwi ulaya sababu unapinga ushoga. Serikali yoyote duniani haito kuvumilia kama unahatarisha usalama kwa publick kwa kauli kama hizoSoma, tafakari, ndio upost. Huu
Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Hii tunaita counter punch na K O Juu πππ
Hata mashoga wengi ni wenye majina kutoka dini hiyo hiyombona mashoga wengi wanapatikana maeneo yenye waislamu wengi??
Hawa watu bado sijawaelewa,Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.
Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha vipi kwamba wana uwezo wa kuua kila asiye wa hiyo dini, maana huu ugaidi tunaushuhudia leo na choko choko zote hizi zinafanywa na waislamu, it's fact.
Em soma post #28 upate majibu..Hivi nyie Uislamu mnauchukuliaje?
Kwa hiyo ni kusema hizi ndiyo amri zao kumi?naona waliongeza zikawa 12 ili isionekane wameiga mahali au kwa wenzao View attachment 3144286
Kutokana na hiyo post wewe umeelewa nini?Em soma post #28 upate majibu..
π
Hawa jamaa Huwa ni wajinga sanaaaaadini
Sasa je π€£Hivi nyie Uislamu mnauchukuliaje?
Slay the unbelievers wherever you find them β 2.191βWagalatia Kwa propaganda wapo vizuri Muislam gani katika Dunia hii atakayetaka Italy iwe nchi ya kiislam? Wakati hiyo ndio nchi iliyoanzisha dini ya ukristo
Hata wapagani wapo wengi kuliko waislam
Lakini Quran inasema hakuna kulazimishana katika dini hivyo sidhani kama Kuna Muislam atapingana na hili andiko na kuanza kuwalazimisha watu wawe waislam
Lakini pia uislam unakaza kuuwa mtu bila ya uatia awe dini yoyote Ile
Hizo ni propaganda