Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

Muiteni dada yenu (kindakindaki) aje ashuhudie..!
 
Aaa wapi shekh aseme tu kwamba ni mfuasi wa kufyokoa kwenye "shimo la mbolea"
Kawaida ya ndoa za kiislam ukitaka kuoa lazima uwe na mshenga upeleke posa na wazazi wa ke lazima wamfahamu muoaji. Sasa kwa mazingira hayo inamaana wazazi wa shoga nao walibariki ndoa pia shekh aliyefungisha ndoa nae hakustuka kwamba wawili hao walikuwa madume??

Inamaana wakati wa kunjunjana shoga alikuwa anaficha wapi kende na mkuyenge wake??
Asiyekuelewa hapa atakuwa mfuasi wa huyo sheikh
 
Ilimchukua wiki mbili mume kujua mkewe ni mwanaume au jamii ndo ilichujua wiki mbili kujua sheik kaoa mwanaume. Alafu ina maana uyo bibi harusi hakua familia, ndugu na jamaa wa karibu au bwana harusi alimwokota jalalani akaamua kukaa naye ndani kwa utaratibu rasmi.
 
Hzi propaganda acheni ujinga,huyo bi harusi ni mwanamke kweli na huyo kijana hapo kulia hahusiani na huyo binti.Hakuna ndoa ya hivi ktk uislam na hata mazingira ya hiyo ndoa yanakataa kiakili....ina maana huyo kijana hana wazazi? Uislam ni ni dini safi na itabaki hivyo daima Acheni ujinga
 
Hakushitukia baada ya wiki mbili
Ila bali baada ya wiki hizo mbili huyo jamaa(mke) aliruka upande wa pili wa nyumba na kuiba vitu ndo akakamatwa na police
Baada ya kukaguliwa akaonekana ni mwanamke
Apo sasa ndo shehe(mume) kuitwa police akajitetea hakujua mkewe ni mwanaume

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aaa wapi shekh aseme tu kwamba ni mfuasi wa kufyokoa kwenye "shimo la mbolea"
Kawaida ya ndoa za kiislam ukitaka kuoa lazima uwe na mshenga upeleke posa na wazazi wa ke lazima wamfahamu muoaji. Sasa kwa mazingira hayo inamaana wazazi wa shoga nao walibariki ndoa pia shekh aliyefungisha ndoa nae hakustuka kwamba wawili hao walikuwa madume??

Inamaana wakati wa kunjunjana shoga alikuwa anaficha wapi kende na mkuyenge wake??

Kuhusu sheikh muozeshaji hapa hausiki, kwa taratibu za kiislamu sheikh hamuoni bibi harusi wakati wa kufungisha ndoa, isipokuwa mashahidi wawili ndio watakaonda kumuulzia na si kumuoa. Huu msala mwangushieni tu huyo "sheikh"
 
Back
Top Bottom