Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

Screenshot_20200116-152120.jpeg
Screenshot_20200116-152130.jpeg
Screenshot_20200116-152145.jpeg
Screenshot_20200116-152213.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina halihusiani na dini, kwani Paul Pogba (France); Daniel Amukachi (Nigeria) ni waislamu.

Hata na Richard Reid gaidi muingereza aliyeficha bomu kwenye kiatu kwa nia ya kulipua ndege ya American Airlines No. 63 ikitoka Paris kwenda Miami mwaka 2001 na kuhukumiwa huko Florence, Colorado USA ni muislam.

Wewe mama una ka tabia ka kukariri kuwatambua watu wa dini mbali mbali kwa majina dhana ambayo ni potofu sana na nakushauri kiuungwana tu uachane na hii dhana kwani ni very fallacious.

Mwisho, uelewe kuwa dhambi ni nature ya mwanadamu na ndio maana hata kwenye nchi za kiislam kuna mifumo ya sheria imewekwa kukabiliana na maovu ktk jamii na hawajaacha eti tu kwa kuwa wao ni waislamu.

Huyo Imamu, sawa na binadamu yeyote, is not immune to sin, hivyo kujaribu kuwa wakili wake ni sawa na kukufuru kwani yeye sio malaika na ndio maana ameishi kinyumba na mwanamume mwenzake kwa muda wote huo huku akimeza tu pini hadi Mungu alipowaandalia mazingira ya kuwaumbua.

This is very pathetic because sin knows no religion.
Richard alijuwa haya mambo kama kanisani tu. Au siyo?
 
Imam kutuhumiwa tu kuoa Mwanaume mwenzie imekuwa breaking news, ingekuwa upande wa pili ingekuwa Habari ya page za katikati ya Gazeti kwa kuwa huko ni kawaida
Uarabuni ndo kawaida haya mambo.
Ata hapa Bongo mashehe ndo wanaongoza. Popote penye waislam wengi (Dar, Zanzibar, Tanga, Mombasa) haya mambo huwa yamepamba sana.....coincidence?
 
Uarabuni ndo kawaida haya mambo.
Ata hapa Bongo mashehe ndo wanaongoza. Popote penye waislam wengi (Dar, Zanzibar, Tanga, Mombasa) haya mambo huwa yamepamba sana.....coincidence?

Vatican kuna Waislam wengi?
 
Richard alijuwa haya mambo kama kanisani tu. Au siyo?
That's not true, homosexuality is an ancient sin that existed even before the advent of Christianity and I'm sure you're aware of this but on account of religious bigotry you might prefer to argue.

Even the Arab slave merchants who perpetrated that illicit trade did practice homosexuality on their slaves and this is well documented.
 
We are talking about today. The whole church is full of gay priests. Don't you know that?
 
We are talking about today. The whole church is full of gay priests. Don't you know that?
When you argue that the whole church is infested with gay priests you're definitely telling lies just as I can, inadvertently, say the whole mosque is full of terrorists.

If we will keep on vilifying the people for the sins they commit daily and eventually lay the burden on them then we shall be sending the wrong signal to the whole world to believe that the existence of the devil is nothing but a myth.

We need to go back to the basics to follow the true word of God and only by doing so the evils like homosexuality, terrorism and others will cease to exist but the exercise of maligning other religions will not help anything short of stirring the rifts.
 
Denying the church if full of gay clerics, priests and even bishops and so on so forth is like denying Indian Ocean is not salty. Read...

A large majority of priests in the Vatican are gay, although many are not sexually active, a new book claims.

A total of about 80 percent of the most revered clerics in the Roman Catholic Church are homosexual despite the church’s opposition to gay rights, according to the extensively researched book by French journalist Frédéric Martel.

The gay priests adhere to an unspoken code called “the closet,” where it is understood that, for instance, a cardinal or bishop who denounces homosexuality is more likely to be gay, according to the book “In the Closet of the Vatican.”

Source: 80 percent of priests in the Vatican are gay: new book
 
Kina Richard mna mambo, mmembambikia imam.

Nyie ni hatari sana.
Mama, na wewe unaamini kabisa ayasemayo huyo sheikh? Sheikh alikua anamla Richard na akanogewa ( uchafu mkubwa ) so kazugia eti akidai kudanganywa; haiwezekani ukae na mwanamke wiki nzima bila kumla, huo ni uongo. Wanaume tunajuana, tena ndio umetoka kumuoa, huo ni uongo. HAwa walikua wapenzi wa kwa siri but wakaona waende extra miles kwa kuoana kabisa na kuudanganya UMAA kwamba "bwana Richard" ni mwanamke kumbe siri ya watu 2
 
Aaa wapi shekh aseme tu kwamba ni mfuasi wa kufyokoa kwenye "shimo la mbolea"
Kawaida ya ndoa za kiislam ukitaka kuoa lazima uwe na mshenga upeleke posa na wazazi wa ke lazima wamfahamu muoaji. Sasa kwa mazingira hayo inamaana wazazi wa shoga nao walibariki ndoa pia shekh aliyefungisha ndoa nae hakustuka kwamba wawili hao walikuwa madume??

Inamaana wakati wa kunjunjana shoga alikuwa anaficha wapi kende na mkuyenge wake??
 
Hawa ndio Watumishi halisi, huna haraka ya kula tunda! Hii technic inatumiwa na Wanyama kama Simba na Chui, wakishiba wanaweka mzoga wao sehemu salama kwa matumizi ya baadae. Huenda Mtumishi alitumia njia hii pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom