Ila ukibanwa na njaa amekupa ruksa kula hata kama utakuwa shoga?
Habitual eating inayosababisha ushoga inapimwa kwa ulaji wa mara ngapi?Sio kubanwa na njaa bali "kufa njaa", mtu hawezi kufa kwa kubanwa na njaa bali mtu hufa kwa "starvation" and not just hunger, katika kipindi cha starvation mtu anaweza kula hata nyani, nyasi, mizizi, mbwa, paka sembuse kitimoto??!!
Ni habitual eating ya kitimoto ndio inaweza kuchochea hisia za Ushoga na sio ule ulaji wa dharura katika starvation.
Umeelewa somo??
Inapendeza sana
Angerukiwa na kitimoto pangechimbika
Habitual eating inayosababisha ushoga inapimwa kwa ulaji wa mara ngapi?
Hujawahi kuziona familia zinazokula kitimoto na hazina mashoga?Habitual eating ni kama; mtoto anazaliwa anakuta nyumbani kwao kitimoto.ni sawa na dagaa huku kwetu, hivyo mtoto anakuwa katika umri wake wote kitimoto inakuwa ni sehemu ya chakula chake, athari ya Ulaji wa kitimoto inamuingia polepole kadiri anavyokuwa huku akiendelea kutumia, mfano mtoto leo ana umri wa miaka 25 huyo anayo nafasi kubwa ya kuwa na hisia za ushoga sio lazima awe shoga.lakini anao uwezekano mkubwa wa kupata.hisia za ushoga, "we are what we eat" dieticians say so.
Katika Wanyama wanaofanya homosexuality sana nguruwe na nyani ndio vinara, katika Wanyama ambao ni close na binadamu kiulaji nguruwe ni mwenzetu, kula nguruwe ni karibu kula nyama mtu.
Huyo poko wa kuingia hadi nyumba ya ibada atapenyea wapiAngekua Nguruwe 🐖 kamtulia mabegani je! imamu angepewa tuzo ya kujali wanyama au angeitwa Kafiri?
Watanzania Kuna shida kwenye ubongo wao na dini za kukariri. Kuna mtu anaamini kuwa nguruwe ni zaidi ya shetani na akimuona amuue ili apate thawabu kumbe ni umbumbumbu. Nguruwe ni mnyama Mwema Sana hata kufunga wanaruhusuwa ila kula tu hawatakiwi. Kama ilivyokuwa haitakiwi Kuna nyama ya binadamu , basi sio naye ni haramu. Embu msikilize mwanazuoni wa uarabuni kabisa anavyofafanua suala la nguruwe.Miaka ya nyuma kwenye msikiti wa Manzese Kitimoto aliingia sijui alitokea wapi wakati wa Swala...alikula mikwaju huyo!!
Madhaifu ya binadamu hayatengui amri ya Mungu , cha msingi pambana kufata alichokisema mwenyezi Mungu , ukiufyata basi unapita kimya kimya ila sio kujificha kwenye madhaifu ya viongozi wa dini kwani hata wao hawaokolewi kwa nyazifa walizo nazo kanisani au misikitiniUnaambiwa hao Lawi ndio walikua Makuhani wakuu Ila Cha ajabu walikua watenda dhambi wakuu pamoja kutunga sheria km hizo hadi pale Yesu alipotambulika kua yeye ndie Kuhani mkuu asiemtenda dhambi baada ya Pazia la Hekalu lenye urefu wa futi 60 na lenye uzito wa kubebwa na watu zaidi ya 300 kupasikia Kati kwa Kati
Kwa hio walawi nao walikua na mapungufu yao mengi ukiondoa kuwakataza watu wasile kitimoto wenyewe walikua wanakula
Aaaah weweee ila sio kwa pig, nakataaUmekosea sana, Uislamu haumaanishi kwamba mnyama aliyeharamishwa kuliwa kwa waislamu wamchukie hapana hapana
Mapenzi ya waislamu kwa wanyama yanabaki pale pale, hata huyo cat haliwi lakini mapenzi aliyoonyeshwa ni sawa na kwa wanyama wote
Hujawahi kuziona familia zinazokula kitimoto na hazina mashoga?
Hujawahi kuona familia ambazo hazili kitimoto halafu bado zina mashoga?
Kansa ya koo inaweza kusababishwa na vitu vingi na ishakuwa confirmed kuwa vitu gani vinaweza kukusababishia ukapata ugonjwa huo.Hujawahi ona mtu anayo kansa ya koo au kifua na havuti fegi??
Je, utakataa kwamba fegi sio chanzo kimojawapo cha kansa ya koo na mapafu??--- basi hiyo haiondoi ukweli kwamba Ulaji uliokithiri na wa muda mrefu wa kitimoto humfanya mlaji awe na hisia za Ushoga na hatimaye kuwa shoga kabisa.
Unakataa nini, kwani paka analiwa?
Mungu gani huyo ambaye aseme kwa wahindi, aseme kwa wayahudi, kwa miaka zaidi ya 4K halafu aje aseme tena na kwa waislamu kuhusu ulaji wa nguruwe, halafu mafundisho mengine yote yawe yanapingana?
Huoni kwamba source ya habari kuwa kitimoto kisiliwe iliandikwa na dini moja iliyotangulia, na zilizofata zilikuja kukopi maneno ambayo wao waliyaona yanafaaa kuyatumia ikiwemo na hilo katazo la kula kitimoto?
Sasa kusisitiza kwamba Mungu kakataza kwenye wayahudi sijui waislamu sioni kama ina mantiki kama tukijua kuwa Mungu wa kwenye Quran sio wa kwenye Vedas wala kwenye Hebrew texts.
Umetoka kwenye scientific facts umeenda kwenye taboo
Mi nataka unipe maelezo ya kisayansi ambayo yaliwahi kuwa confirmed kuwa watu wamebainika mashoga kwasababu ya ulaji wa kitimoto
Sio bayaHata kama tufanye zilikopi, je kukopi jambo jema ni dhambi?
Kumla Bwana Aboubakar (Mdudu Handsome) hakuwezi shababisha mtu awe Shoga.Hujawahi ona mtu anayo kansa ya koo au kifua na havuti fegi??
Je, utakataa kwamba fegi sio chanzo kimojawapo cha kansa ya koo na mapafu??--- basi hiyo haiondoi ukweli kwamba Ulaji uliokithiri na wa muda mrefu wa kitimoto humfanya mlaji awe na hisia za Ushoga na hatimaye kuwa shoga kabisa.
Mungu wa Vedas ana jina lake, ana sifa zake, ana utaratibu wakeMungu wa Vedas, wa Qur'an wa Taurati, Injili na Qur'an ni huyo Mungu mmoja aliyewatuma kwa nyakati tofauti Krishna, Musa, Isa, na hatimaye Muhammad (saw).
Taboo ya kutoka kwa Mungu haipo, kuna taboo iliyodaiwa imetoka kwa MunguTaboo kutoka kwa Mungu ni better than taboo za kisayansi kwani Sayansi ni elimu ya kujua mazingira yanayotuzunguka, mazingira hayo kayaumba Mungu na nguruwe naye kaumbwa na huyo huyo Mungu ambaye kasema tusimle, dini ni elimu ya kujua maneno ya Mungu basi Maneno ya Mungu yana nguvu sana kuliko sayansi na Sayansi ipo kutilia nguvu Maneno ya Mungu licha ya wakati fulani science proves failure.
Go and check; the pork eating and its association with homosexuality, how pork affects human genes etc.
Kuna conspiracy theories pia, hilo nalo unatakiwa kulijua.Go and check; the pork eating and its association with homosexuality, how pork affects human genes etc.