Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Ila ukibanwa na njaa amekupa ruksa kula hata kama utakuwa shoga?

Sio kubanwa na njaa bali "kufa njaa", mtu hawezi kufa kwa kubanwa na njaa bali mtu hufa kwa "starvation" and not just hunger, katika kipindi cha starvation mtu anaweza kula hata nyani, nyasi, mizizi, mbwa, paka sembuse kitimoto??!!

Ni habitual eating ya kitimoto ndio inaweza kuchochea hisia za Ushoga na sio ule ulaji wa dharura katika starvation.

Umeelewa somo??
 
Habitual eating inayosababisha ushoga inapimwa kwa ulaji wa mara ngapi?
 
Habitual eating inayosababisha ushoga inapimwa kwa ulaji wa mara ngapi?

Habitual eating ni kama; mtoto anazaliwa anakuta nyumbani kwao kitimoto.ni sawa na dagaa huku kwetu, hivyo mtoto anakuwa katika umri wake wote kitimoto inakuwa ni sehemu ya chakula chake, athari ya Ulaji wa kitimoto inamuingia polepole kadiri anavyokuwa huku akiendelea kutumia, mfano mtoto leo ana umri wa miaka 25 huyo anayo nafasi kubwa ya kuwa na hisia za ushoga sio lazima awe shoga.lakini anao uwezekano mkubwa wa kupata.hisia za ushoga, "we are what we eat" dieticians say so.

Katika Wanyama wanaofanya homosexuality sana nguruwe na nyani ndio vinara, katika Wanyama ambao ni close na binadamu kiulaji nguruwe ni mwenzetu, kula nguruwe ni karibu kula nyama mtu.
 
Hujawahi kuziona familia zinazokula kitimoto na hazina mashoga?

Hujawahi kuona familia ambazo hazili kitimoto halafu bado zina mashoga?
 
Miaka ya nyuma kwenye msikiti wa Manzese Kitimoto aliingia sijui alitokea wapi wakati wa Swala...alikula mikwaju huyo!!
Watanzania Kuna shida kwenye ubongo wao na dini za kukariri. Kuna mtu anaamini kuwa nguruwe ni zaidi ya shetani na akimuona amuue ili apate thawabu kumbe ni umbumbumbu. Nguruwe ni mnyama Mwema Sana hata kufunga wanaruhusuwa ila kula tu hawatakiwi. Kama ilivyokuwa haitakiwi Kuna nyama ya binadamu , basi sio naye ni haramu. Embu msikilize mwanazuoni wa uarabuni kabisa anavyofafanua suala la nguruwe.
 
Unaambiwa hao Lawi ndio walikua Makuhani wakuu Ila Cha ajabu walikua watenda dhambi wakuu pamoja kutunga sheria km hizo hadi pale Yesu alipotambulika kua yeye ndie Kuhani mkuu asiemtenda dhambi baada ya Pazia la Hekalu lenye urefu wa futi 60 na lenye uzito wa kubebwa na watu zaidi ya 300 kupasikia Kati kwa Kati

Kwa hio walawi nao walikua na mapungufu yao mengi ukiondoa kuwakataza watu wasile kitimoto wenyewe walikua wanakula
Madhaifu ya binadamu hayatengui amri ya Mungu , cha msingi pambana kufata alichokisema mwenyezi Mungu , ukiufyata basi unapita kimya kimya ila sio kujificha kwenye madhaifu ya viongozi wa dini kwani hata wao hawaokolewi kwa nyazifa walizo nazo kanisani au misikitini
 
Umekosea sana, Uislamu haumaanishi kwamba mnyama aliyeharamishwa kuliwa kwa waislamu wamchukie hapana hapana

Mapenzi ya waislamu kwa wanyama yanabaki pale pale, hata huyo cat haliwi lakini mapenzi aliyoonyeshwa ni sawa na kwa wanyama wote
Aaaah weweee ila sio kwa pig, nakataa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Hujawahi kuziona familia zinazokula kitimoto na hazina mashoga?

Hujawahi kuona familia ambazo hazili kitimoto halafu bado zina mashoga?

Hujawahi ona mtu anayo kansa ya koo au kifua na havuti fegi??

Je, utakataa kwamba fegi sio chanzo kimojawapo cha kansa ya koo na mapafu??--- basi hiyo haiondoi ukweli kwamba Ulaji uliokithiri na wa muda mrefu wa kitimoto humfanya mlaji awe na hisia za Ushoga na hatimaye kuwa shoga kabisa.
 
Kansa ya koo inaweza kusababishwa na vitu vingi na ishakuwa confirmed kuwa vitu gani vinaweza kukusababishia ukapata ugonjwa huo.

Hivyo basi mtu anaweza akabainika anakansa ya koo na havuti sigara lakini vipimo vikatoa sababu nyingine ambayo hizo sababu zilishawahi kuainishwa na taasisi za kiafya kuwa ndio chanzo.

Sigara tunafahamu hatari yake kupitia sumu ya nicotine inaweza kukufanya ukumbane na hayo magonjwa.

Victims wa kansa iliyotokana na sigara mtaani ni wengi na tunalijua hilo kupitia vipimo.

Ni lini iliwahi kuwa confirmed kuwa fulani ni shoga kwasababu vipimo vinaonesha ameupata ushoga kwasababu ya ulaji wa kitimoto?
 
Mungu gani huyo ambaye aseme kwa wahindi, aseme kwa wayahudi, kwa miaka zaidi ya 4K halafu aje aseme tena na kwa waislamu kuhusu ulaji wa nguruwe, halafu mafundisho mengine yote yawe yanapingana?

Dini zote zilizotoka kwa Mungu wa kweli msingi wa mafundisho yao ni Tauhiid na mambo mengine ni manners na good morals, kuhusu vyakula vipo kwenye manners hivyo sio ajabu kukuta chakula kimoja kiwe taboo katika dini zote kutoka kwa Mungu huyo huyo, juu yote kabla ya uisilamu dini zilikuwa kwa makabila maalumu na kwa muda fulani tu.

Huoni kwamba source ya habari kuwa kitimoto kisiliwe iliandikwa na dini moja iliyotangulia, na zilizofata zilikuja kukopi maneno ambayo wao waliyaona yanafaaa kuyatumia ikiwemo na hilo katazo la kula kitimoto?

Hata kama tufanye zilikopi, je kukopi jambo jema ni dhambi?

Sasa kusisitiza kwamba Mungu kakataza kwenye wayahudi sijui waislamu sioni kama ina mantiki kama tukijua kuwa Mungu wa kwenye Quran sio wa kwenye Vedas wala kwenye Hebrew texts.

Mungu wa Vedas, wa Qur'an wa Taurati, Injili na Qur'an ni huyo Mungu mmoja aliyewatuma kwa nyakati tofauti Krishna, Musa, Isa, na hatimaye Muhammad (saw).

Umetoka kwenye scientific facts umeenda kwenye taboo

Taboo kutoka kwa Mungu ni better than taboo za kisayansi kwani Sayansi ni elimu ya kujua mazingira yanayotuzunguka, mazingira hayo kayaumba Mungu na nguruwe naye kaumbwa na huyo huyo Mungu ambaye kasema tusimle, dini ni elimu ya kujua maneno ya Mungu basi Maneno ya Mungu yana nguvu sana kuliko sayansi na Sayansi ipo kutilia nguvu Maneno ya Mungu licha ya wakati fulani science proves failure.

Mi nataka unipe maelezo ya kisayansi ambayo yaliwahi kuwa confirmed kuwa watu wamebainika mashoga kwasababu ya ulaji wa kitimoto

Go and check; the pork eating and its association with homosexuality, how pork affects human genes etc.
 
Hata kama tufanye zilikopi, je kukopi jambo jema ni dhambi?
Sio baya

Ila linaweza kuwa baya kulingana na namna jinsi wewe ulivyoliweka likapoteza uhalisia wake na kuwa katika taswira ya kupotosha

Mfano kitimoto kinaweza kilikuwa na madhara kwa baadhi ya watu kutokana na aleji tu.

Hao watu katika miaka hiyo ndio waliokuwa kwenye power ya kuweza kuamua nini kiandikwe na kipi kisiandikwe.

Ila wewe ukalichukua hilo neno na kuli transform kwenda kwenye maana nyingine (ushoga) ili kulifanya liwe na uzito watu waweze kuogopa, basi hilo ndio tatizo.
 
Hujawahi ona mtu anayo kansa ya koo au kifua na havuti fegi??

Je, utakataa kwamba fegi sio chanzo kimojawapo cha kansa ya koo na mapafu??--- basi hiyo haiondoi ukweli kwamba Ulaji uliokithiri na wa muda mrefu wa kitimoto humfanya mlaji awe na hisia za Ushoga na hatimaye kuwa shoga kabisa.
Kumla Bwana Aboubakar (Mdudu Handsome) hakuwezi shababisha mtu awe Shoga.
 
Mungu wa Vedas, wa Qur'an wa Taurati, Injili na Qur'an ni huyo Mungu mmoja aliyewatuma kwa nyakati tofauti Krishna, Musa, Isa, na hatimaye Muhammad (saw).
Mungu wa Vedas ana jina lake, ana sifa zake, ana utaratibu wake

Unajua kwanza anaitwa nani?

Na Mungu wako wewe kwenye Quran amekupa maagizo gani?

Unakumbuka alichokuambia?

Alikuambia hakuna Mungu isipokuwa Allah
 
Taboo kutoka kwa Mungu ni better than taboo za kisayansi kwani Sayansi ni elimu ya kujua mazingira yanayotuzunguka, mazingira hayo kayaumba Mungu na nguruwe naye kaumbwa na huyo huyo Mungu ambaye kasema tusimle, dini ni elimu ya kujua maneno ya Mungu basi Maneno ya Mungu yana nguvu sana kuliko sayansi na Sayansi ipo kutilia nguvu Maneno ya Mungu licha ya wakati fulani science proves failure.

Go and check; the pork eating and its association with homosexuality, how pork affects human genes etc.
Taboo ya kutoka kwa Mungu haipo, kuna taboo iliyodaiwa imetoka kwa Mungu

Quran, Bible, Vedas nk ni claims

Na ndio maana zinapingana hata tukiwapa uwanja mkubaliane kati ya hizo ipi ni ya kweli zaidi kuliko nyingine hamuwezi mkaufikia muafaka
 
Go and check; the pork eating and its association with homosexuality, how pork affects human genes etc.
Kuna conspiracy theories pia, hilo nalo unatakiwa kulijua.

Sio kila kitu ni fact zingine zimepikwa kwa kusudio maalumu na moja wapo ni hii.

Niletee kwanza nizione hizo facts hata kama ni za uongo we ziweke tu mi nizione
 
Back
Top Bottom