Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

Sioni sababu za kufanya unabii, maana unaweza ukajikuta unajicontradict. Unasema sababu ya kuipa nafasi Yanga ni consistency (maana yake muendelezo wa matokeo mazuri katika michuano husika),ndio nikakwambia, kama kigezo ni consistency basi Simba is more consistent than Yanga, kwa kuwa katika michuano yote hiyo tangu raundi za awali, Simba imepoteza mechi moja tu, ambayo ni away dhidi ya Wydad, while Yanga amepoteza mbili, Belouzdad 3-0 na Ahly 1-0. Labda ubadilishe kigezo

1) umeangalia kupoteza ila hukuangalia kushinda mechi ngapi. Simba imeshinda mechi mbili tu katika mashindano ya kimataifa msimu huu. Imemfunga Galaxy na Wydad pekee.

2) Simba mara nyingi hapa ndio huwa meisho wake hivyo kama consistency labda ya kucheza robo fainali ambapo safari hii wapo pamoja na Yanga.
3) Yanga msimu uliopita alicheza fainali mashindano ambayo mliyoyabeza na mkitegemea hatofika mbali klabu bingwa ila kafika mnapofika nyie, mpaka hapo tayari kawa na muendelezo mzuri wa mashindano ya CAF hivyo anatafuta record ya kucheza fainali za CAF mara mbili mfululizo huku safari hii ikiwa ni mashindano yenye hadhi zaidi.
 
Imani peleka kwa Mzee wa Upako,ingekuwa rahisi hivyo Pamba ya Mwanza wangukuwa wanashiriki CAF Champion League
 
Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance

Huenda mwakaa huu TZ tukafanya. Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .

Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.

Common things occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
Hao ni wafa kiume fc🤸
 
Hiyo Consistency inapotelea wapi Yanga akutanapo na timu kama Al Ahly?
 
Yanga imekutana na mkosi kama ule wa msimu uliopita kwenye fainali ya shirikisho. Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga katika hatua ya robo fainali. Hilo pigo zito sana kwa Yanga. Aucho ndio injini ya Yanga
Mkosi gani tena Kwa kumkosa Aucho wakati tunaaminishwa kuwa Gongowazi mna kikosi kipana,Pathetic
 
1) umeangalia kupoteza ila hukuangalia kushinda mechi ngapi. Simba imeshinda mechi mbili tu katika mashindano ya kimataifa msimu huu. Imemfunga Galaxy na Wydad pekee.

2) Simba mara nyingi hapa ndio huwa meisho wake hivyo kama consistency labda ya kucheza robo fainali ambapo safari hii wapo pamoja na Yanga.
3) Yanga msimu uliopita alicheza fainali mashindano ambayo mliyoyabeza na mkitegemea hatofika mbali klabu bingwa ila kafika mnapofika nyie, mpaka hapo tayari kawa na muendelezo mzuri wa mashindano ya CAF hivyo anatafuta record ya kucheza fainali za CAF mara mbili mfululizo huku safari hii ikiwa ni mashindano yenye hadhi zaidi.

Sahihi kabisa
 
Sio kwamba atakuwa amepona!?nje ya hapo Sure boy atateseka ngoja tuone game hizi mfululizo labda zitamjenga
Report ya Dr inasema atakua nje ya michezo kwa wiki 3. Sasa hapo hata akipona bado kuna muda wa kurudi kwenye match fitness. Hawezi kucheza huyu.
 
Kwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.
Mmeshaanza kufukua ya 1974 ili tu Yanga akienda Semi final isiwe jambo jipya kama mlivyofanya kwenye Confederation Cup Final ya Yanga vs USM Alger.
 
Mmeshaanza kufukua ya 1974 ili tu Yanga akienda Semi final isiwe jambo jipya kama mlivyofanya kwenye Confederation Cup Final ya Yanga vs USM Alger.
Chukua hii 1974 simba alicheza nusu fainali klabu bingwa africa.

Kombe alilofika yanga fainali, simba haijawahi kufika fainali kombe hilo, kombe alilofika simba halikuwa shirikisho na michuano ile ilifutwa na caf, rekodi ni kuwa simba alifika fainali katika moja ya michuano ya afrika lakini haikuwa shirikisho.
 
Mmeshaanza kufukua ya 1974 ili tu Yanga akienda Semi final isiwe jambo jipya kama mlivyofanya kwenye Confederation Cup Final ya Yanga vs USM Alger.
Kama mlivyofukua ya Mwaka 1969 na 1972 eti Yanga alifika Robo Fainali ya Champions league eti ikiwa na Jina lingine,changamoto ni tunapiwauliza mtutajie kikosi kilichocheza hayo mashindano ndo mnapoteana
 
Back
Top Bottom