Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Kama Simba imeweza kufika hapo ilipofika basi na itafika huko inakotaka.
Ukiambiwa Club Bingwa basi ujue hakuna Club dhaifu.

Nina uhakika Simba inaingia Robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda wasiwepo hawa ndo itafika robo 👇

WYDAD CASABLANCA/MOROCCO

ESPERANCE/TUNISIA

CLUB AFRICAIN/TUNISIA
Screenshot_20181230-195044_FotMob.jpg

TP MAZEMBE/CONGO

AL AHLY/EGYPT

VITA CLUB

CS CONSTANTINE/ALGERIA

Haponi mtu hapo.

Mungu ibariki Al ahly
 
Aiseee! Good news mkuu. Hii ni habari njema kwa Mungu Al ahly fans.

Mungu ibariki Al ahly!
Vyura mmelaaniwa kushabikia wanaume wenzenu....siku ile tuliwafunga Nkana ila maumivu mlipata nyinyi...mtaishia hivyohivyo
 
Labda wasiwepo hawa ndo itafika robo 👇

WYDAD CASABLANCA/MOROCCO

ESPERANCE/TUNISIA

CLUB AFRICAIN/TUNISIA
View attachment 981354

TP MAZEMBE/CONGO

AL AHLY/EGYPT

VITA CLUB

CS CONSTANTINE/ALGERIA

Haponi mtu hapo.

Mungu ibariki Al ahly
Sasa wee na kichwa chako Wydad Casablanca sjui Club Africain wanahusikaje kwenye kundi la Simba?
 
Dah sio mbali tuharakishe usajili kudhibiti mapungufu hasa striker wetu bado wanakosa sana magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sheria za CAF sidhani kama tukisajili sasa huyo mchezaji atakuwa na vigezo vya kucheza Champions league....Labda atoke kwenye timu ambayo haijagusa mashindano kabisaa. Japo mimi naona tatizo lipo kwenye back line zaidi...Pascal Wawa anapuyanga sana, Gyan naye anabahatishaga tu...huyu jamaa mpya Sijui Coulibaly gani huko ni mzito kama uji wa lami.
 
Inshaallah Tutapita

Mishemishe tu za maisha kusaka malisho nikajikuta nipo huku
Karibia kwetu hapo ukibarikiwa...Mikanjuni hapo Nmezaliwa na kukulia hapo na wazazi wawili mmoja msambaa na mwingine ana asili ya Kiyuropu😂😂😂😂
 
Karibia kwetu hapo ukibarikiwa...Mikanjuni hapo Nmezaliwa na kukulia hapo na wazazi wawili mmoja msambaa na mwingine ana asili ya Kiyuropu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu nitakaribia tutatafutana mimi bado nipo hapa jijini
 
Back
Top Bottom