Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Uwanja wa nyumbani ndipo mahali sahihi pa kupatia matokeo...zaidi ya hapo nothing..but nina imani Simba haitaboronga mechi za nyumbani

#SimbaNguvuMoja
mara ya mwisho simba kufungwa ilifungwa na liboro FC miaka saba iliyopita pale taifa,
 
Kunyavuuuu
Vita.jpeg
 
Group D #CAFCL
-Al Ahly Sc(Egy)
-Simba Sc(Tan)
-JS Saoura(Alg)
-Association Sportivè de Victoria/Vita Club(DRC)

Nimejaribu kuangalia Makundi yote manne yaliyopangwa Jana na CAF na nimekuja kugundua kuwa Simba imepata kundi lenye uafadhali kidogo kuliko angepangwa kundi A au C.

Imani yangu ni kwamba Simba Ina uwezo wa kushinda mechi kuanzia mbili hapa Taifa na angalau kupata sare Moja but Kufungwa simba Taifa ni Ndoto na haiwezekani.

Ukiangalia kwa makini Kundi la Simba unaweza kuhisi kuwa timu tishio ni Za Kiarabu Kwa maana kwamba Al Ahly na hiyo JS Saoura lakini kwa Maoni na imani yangu ni kwamba timu tishio kwa Simba kwenye Kundi lake ni AS Vita ya Kinshasa kwani Jamaa wana kasi na Ukiangalia soka letu linaendana hasa ukizingatia kuwa tunatoka ukanda mmoja.

Ndio maana naamini kuwa kwenye michezo yetu mitatu ya Home Sio Al Ahly au Saoura atayekuwa tatizo kwa simba bali AS Vita Ya Congo......ila point 9 home na sare angalau moja ugenini Kwa simba ni inevitable kabisa.

Angalizo: Msiidharau Simba hasa katika hatua hii kwani dhamira na malengo ni makubwa mno.

#ThisIsSimba
#SimbaNguvuMoja
#Yes-We-Can
Ngoja tuone Kama makusu atakubaliana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom