Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Ndo ujue ivyoHahahahahahaha huo umeme unakatwa kwenu tu? Maaana tangu jumamos mkapotea mkaja onekana kuanzia jumataño
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ujue ivyoHahahahahahaha huo umeme unakatwa kwenu tu? Maaana tangu jumamos mkapotea mkaja onekana kuanzia jumataño
Niliona mlivyowatunuku mlivyoenda kule congo mkachapwa goli 5 kavu kavu
Halafu nyie ndo mkapata utamuuuuuuNiliona mlivyowatunuku mlivyoenda kule congo mkachapwa goli 5 kavu kavu
Mlikojozwa kule kongo
Kama nyie mlivýoadimika jumamosi baada yä kupigwa goli 2Usije tu ukaadimika baada ya mechi[emoji23][emoji23][emoji23]
Muda utasemaPole sana mtani..mwaka huu gongowazi's mtabadilisha timu mpaka muote sugu za matakoni.
Wasamehe Hawajui WatendaloPole sana mtani..mwaka huu gongowazi's mtabadilisha timu mpaka muote sugu za matakoni.
Utabiri wako umekaribia kutimia kwa sasa upo 90%.Group D #CAFCL
-Al Ahly Sc(Egy)
-Simba Sc(Tan)
-JS Saoura(Alg)
-Association Sportivè de Victorié/Vita Club(DRC)
Nimejaribu kuangalia Makundi yote manne yaliyopangwa Jana na CAF na nimekuja kugundua kuwa Simba imepata kundi lenye uafadhali kidogo kuliko angepangwa kundi A au C.
Imani yangu ni kwamba Simba Ina uwezo wa kushinda mechi kuanzia mbili hapa Taifa na angalau kupata sare Moja but Kufungwa simba Taifa ni Ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kwa makini Kundi la Simba unaweza kuhisi kuwa timu tishio ni Za Kiarabu Kwa maana kwamba Al Ahly na hiyo JS Saoura lakini kwa Maoni na imani yangu ni kwamba timu tishio kwa Simba kwenye Kundi lake ni AS Vita ya Kinshasa kwani Jamaa wana kasi na Ukiangalia soka letu linaendana hasa ukizingatia kuwa tunatoka ukanda mmoja.
Ndio maana naamini kuwa kwenye michezo yetu mitatu ya Home Sio Al Ahly au Saoura atayekuwa tatizo kwa simba bali AS Vita Ya Congo......ila point 9 home na sare angalau moja ugenini Kwa simba ni inevitable kabisa.
Angalizo: Msiidharau Simba hasa katika hatua hii kwani dhamira na malengo ni makubwa mno.
#ThisIsSimba
#SimbaNguvuMoja
#Yes-We-Can
Njoo ujionee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akikuitikia niite...na akija atakuja na hoja zisizokuwa na mashiko.
Jamaa umetisha,mulemuleGroup D #CAFCL
-Al Ahly Sc(Egy)
-Simba Sc(Tan)
-JS Saoura(Alg)
-Association Sportivè de Victorié/Vita Club(DRC)
Nimejaribu kuangalia Makundi yote manne yaliyopangwa Jana na CAF na nimekuja kugundua kuwa Simba imepata kundi lenye uafadhali kidogo kuliko angepangwa kundi A au C.
Imani yangu ni kwamba Simba Ina uwezo wa kushinda mechi kuanzia mbili hapa Taifa na angalau kupata sare Moja but Kufungwa simba Taifa ni Ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kwa makini Kundi la Simba unaweza kuhisi kuwa timu tishio ni Za Kiarabu Kwa maana kwamba Al Ahly na hiyo JS Saoura lakini kwa Maoni na imani yangu ni kwamba timu tishio kwa Simba kwenye Kundi lake ni AS Vita ya Kinshasa kwani Jamaa wana kasi na Ukiangalia soka letu linaendana hasa ukizingatia kuwa tunatoka ukanda mmoja.
Ndio maana naamini kuwa kwenye michezo yetu mitatu ya Home Sio Al Ahly au Saoura atayekuwa tatizo kwa simba bali AS Vita Ya Congo......ila point 9 home na sare angalau moja ugenini Kwa simba ni inevitable kabisa.
Angalizo: Msiidharau Simba hasa katika hatua hii kwani dhamira na malengo ni makubwa mno.
#ThisIsSimba
#SimbaNguvuMoja
#Yes-We-Can
UPDATES
It's over
-Al Ahly 10pts
-Simba Sc 9pts
-Js Saoura 8pts
As Vita 7pts
Hatimaye yametimia Simba Hiyooo ¼fainali ya Total Caf Champions League...mliokuwa mnapuuza ahsanteni kwa Kushiriki😂😂😂😂😂
Unasema nini wewe ?(in Magufuli Voice..)..Labda itapita kwenye kundi la whatsapp
Asante mkuu... Simba sio Lipuli