3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Mkuu unaionaje Simba ya msimu huu?tuonee sasa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaionaje Simba ya msimu huu?tuonee sasa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tuwaeleze mara ngapi kuwa mwaka huu malengo ya simba ni kufika group stage na imetimiza 100%+ so hata akitolewa sio big ishu kwa wapenzi na mashabiki wa Simba
Hii na ile ya msimu jana ipi kali?Ipo kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana, kumbe mnajua mtatolewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi tuwaeleze mara ngapi kuwa mwaka huu malengo ya simba ni kufika group stage na imetimiza 100%+ so hata akitolewa sio big ishu kwa wapenzi na mashabiki wa Simba
Hawajui maana ya malengo...wao upepo kusanya uchafu tuHivi tuwaeleze mara ngapi kuwa mwaka huu malengo ya simba ni kufika group stage na imetimiza 100%+ so hata akitolewa sio big ishu kwa wapenzi na mashabiki wa Simba
Zote za kawaida, japo mwaka huu mmejitahidiHii na ile ya msimu jana ipi kali?
Poa mkuu.. japo shingo upande sana nakuona.Zote za kawaida, japo mwaka huu mmejitahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana, kumbe mnajua mtatolewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui maana ya malengo...wao upepo kusanya uchafu tu
Wanajua ubora, uwezo na mafanikio yetu msimu huu... ila ni roho mbaya zao tuMkuu wakumbushe na lengo kuu la kufika group stage nikuweza kumpa fursa kocha kuona wachezaji wa kimataifa ilituweza sajili na kuipandisha timu kwenye nafasi ya juu pia kuongeza point kwa ajili ya kuongeza nafasi kwa vilabu vyetu kushiriki mashindano haya kama zahera mwenyewe alivyosema kuwa itaipa nafasi yanga
hahaha kawaida tuPoa mkuu.. japo shingo upande sana nakuona.
Poa mkuu.. japo shingo upande sana nakuona.
hahaha kawaida tu
TP MAZEMBE ANASHINDA KESHOKUTWAWajiandae kutolewa
Hamkati tamaa kila siku mnamuombea Simba apate matokeo mabaya yanawarudi wenyeweTP MAZEMBE ANASHINDA KESHOKUTWA
wanapata wakati mgumu sana Mnyama ashindapo.....Vyura huu mwaka wataolewa mpaka na Makaburu.Hamkati tamaa kila siku mnamuombea Simba apate matokeo mabaya yanawarudi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app