Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Hivi tuwaeleze mara ngapi kuwa mwaka huu malengo ya simba ni kufika group stage na imetimiza 100%+ so hata akitolewa sio big ishu kwa wapenzi na mashabiki wa Simba
Hawajui maana ya malengo...wao upepo kusanya uchafu tu
 
Mkuu wakumbushe na lengo kuu la kufika group stage nikuweza kumpa fursa kocha kuona wachezaji wa kimataifa ilituweza sajili na kuipandisha timu kwenye nafasi ya juu pia kuongeza point kwa ajili ya kuongeza nafasi kwa vilabu vyetu kushiriki mashindano haya kama zahera mwenyewe alivyosema kuwa itaipa nafasi yanga
 
Wanajua ubora, uwezo na mafanikio yetu msimu huu... ila ni roho mbaya zao tu
 
Back
Top Bottom