Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limbukeni kabisa😎Labda wasiwepo hawa ndo itafika robo 👇
WYDAD CASABLANCA/MOROCCO
ESPERANCE/TUNISIA
CLUB AFRICAIN/TUNISIA
View attachment 981354
TP MAZEMBE/CONGO
AL AHLY/EGYPT
VITA CLUB
CS CONSTANTINE/ALGERIA
Haponi mtu hapo.
Mungu ibariki Al ahly
Limbukeni kabisa😎
This is Simba Brother......😂😂
AS VITA SIO MAZEMBE TPAsante mkuu... Simba sio Lipuli
NASISITIZA TENA, MUDA UTASEMAKweli mkuu muda haudanganyi
#Ahsante kwa kushiriki😁
asa unajisufu unaongoza wakati unecheza match nyingi kuliko mpinzani wakoNjaa inacheza mpira na inaongoza ligi kwa tofauti ya point17,mbumbumbu ni mbumbumbu tu hawezi pona
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni tofauti hapo?... we Lipuli mimi Vita au TP MazembeAS VITA SIO MAZEMBE TP
keshokutwa sio mbaliHuoni tofauti hapo?... we Lipuli mimi Vita au TP Mazembe
Tumeshiriki na kushindana michuano mikubwa Africa ngazi ya vilabu na kufanya vizuri usione aibu kutupongezaJiandaeni kuaga mashindano
roho inawachokonoka kama timu yenu imo.. Na badokeshokutwa sio mbali
tuonee sasa mkuuroho inawachokonoka kama timu yenu imo.. Na bado
Group D #CAFCL
-Al Ahly Sc(Egy)
-Simba Sc(Tan)
-JS Saoura(Alg)
-Association Sportivè de Victorié/Vita Club(DRC)
Nimejaribu kuangalia Makundi yote manne yaliyopangwa Jana na CAF na nimekuja kugundua kuwa Simba imepata kundi lenye uafadhali kidogo kuliko angepangwa kundi A au C.
Imani yangu ni kwamba Simba Ina uwezo wa kushinda mechi kuanzia mbili hapa Taifa na angalau kupata sare Moja but Kufungwa simba Taifa ni Ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kwa makini Kundi la Simba unaweza kuhisi kuwa timu tishio ni Za Kiarabu Kwa maana kwamba Al Ahly na hiyo JS Saoura lakini kwa Maoni na imani yangu ni kwamba timu tishio kwa Simba kwenye Kundi lake ni AS Vita ya Kinshasa kwani Jamaa wana kasi na Ukiangalia soka letu linaendana hasa ukizingatia kuwa tunatoka ukanda mmoja.
Ndio maana naamini kuwa kwenye michezo yetu mitatu ya Home Sio Al Ahly au Saoura atayekuwa tatizo kwa simba bali AS Vita Ya Congo......ila point 9 home na sare angalau moja ugenini Kwa simba ni inevitable kabisa.
Angalizo: Msiidharau Simba hasa katika hatua hii kwani dhamira na malengo ni makubwa mno.
#ThisIsSimba
#SimbaNguvuMoja
#Yes-We-Can
UPDATES
It's over
-Al Ahly 10pts
-Simba Sc 9pts
-Js Saoura 8pts
As Vita 7pts
Hatimaye yametimia Simba Hiyooo ¼fainali ya Total Caf Champions League...mliokuwa mnapuuza ahsanteni kwa Kushiriki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]