Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kama Simba imeweza kufika hapo ilipofika basi na itafika huko inakotaka.
Ukiambiwa Club Bingwa basi ujue hakuna Club dhaifu.
Nina uhakika Simba inaingia Robo fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefikia hapa mkuu??Labda wasiwepo hawa ndo itafika robo [emoji116]
WYDAD CASABLANCA/MOROCCO
ESPERANCE/TUNISIA
CLUB AFRICAIN/TUNISIA
View attachment 981354
TP MAZEMBE/CONGO
AL AHLY/EGYPT
VITA CLUB
CS CONSTANTINE/ALGERIA
Haponi mtu hapo.
Mungu ibariki Al ahly
Sasa wee na kichwa chako Wydad Casablanca sjui Club Africain wanahusikaje kwenye kundi la Simba?Labda wasiwepo hawa ndo itafika robo π
WYDAD CASABLANCA/MOROCCO
ESPERANCE/TUNISIA
CLUB AFRICAIN/TUNISIA
View attachment 981354
TP MAZEMBE/CONGO
AL AHLY/EGYPT
VITA CLUB
CS CONSTANTINE/ALGERIA
Haponi mtu hapo.
Mungu ibariki Al ahly
Nyie mkicheza hata na machui fc watawapga nyingi tuBora Mwahako..nyie vyura level yenu ni Masiwani united[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa kati ya Tareh 11,12 au 13 january...Simba vs Saoura
Hahahaha mkuu nipo home kwenu huku natafuna dada zenu. Mimi shemeji yako sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umefanya hadi nmekumbuka home msenge ww.
Kwa sheria za CAF sidhani kama tukisajili sasa huyo mchezaji atakuwa na vigezo vya kucheza Champions league....Labda atoke kwenye timu ambayo haijagusa mashindano kabisaa. Japo mimi naona tatizo lipo kwenye back line zaidi...Pascal Wawa anapuyanga sana, Gyan naye anabahatishaga tu...huyu jamaa mpya Sijui Coulibaly gani huko ni mzito kama uji wa lami.Dah sio mbali tuharakishe usajili kudhibiti mapungufu hasa striker wetu bado wanakosa sana magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mishemishe tu za maisha kusaka malisho nikajikuta nipo hukuUmefuata nini huko mzee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sheria za CAF sidhani kama tukisajili sasa huyo mchezaji atakuwa na vigezo vya kucheza Champions league....Labda atoke kwenye timu ambayo haijagusa mashindano kabisaa. Japo mimi naona tatizo lipo kwenye back line zaidi...Pascal Wawa anapuyanga sana, Gyan naye anabahatishaga tu...huyu jamaa mpya Sijui Coulibaly gani huko ni mzito kama uji wa lami.
Sawa mkuu nitakaribia tutatafutana mimi bado nipo hapa jijiniKaribia kwetu hapo ukibarikiwa...Mikanjuni hapo Nmezaliwa na kukulia hapo na wazazi wawili mmoja msambaa na mwingine ana asili ya Kiyuropu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka kibao mmekaa eda mpaka Hanithi Bashite kuleta figisu...leo mnajiita wanaume ...Level zenu ni Sumbawanga Utd na Mwakidila ya Tanga huku tuachieni Wanaume.
#SimbaNguvuMoja