Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Huo ndio ukweli,huko makanisani wamejaa matapeli tu, bora kuwasaidia msikini moja kwa mojaKWA TABU NILIYO PATA NA KANISA HAKUNA LILICHO NISAIDIA
WAKAJA KUNISAIDIA WATU WENGINE AMBAO HATA KANISANI HUWA HAWAFIKI
HAPO NDIPO NILIPO FAHAMU NINI MAANA YA UPENDO NA NDIPO NILIPO BADILI MAAMUZI
FUNGU LA KUMI LANGU NITAMNUNULIA HATA MPIGA DEBE MSOSI STENDI
Unafiki mtupu Hivi VITU Ndio vinafanya watu waone kanisa linaubaguziMchungaji akitaka Gari anachangiwa na waumini...
Muumini akitaka Gari anaombewa tena inatakiwa atoe na Fungu la kumi
Ukweli mchungu ..Unafiki mtupu Hivi VITU Ndio vinafanya watu waone kanisa linaubaguzi
Mchungaji akiumwa anapelekwa hospital kubwa Muumini akiumwa aombewe 😁😁 hata Yesu Anashangaa huu unafikiUkweli mchungu ..
😆😆😆 Inashangaza sana mkuuMchungaji akiumwa anapelekwa hospital kubwa Muumini akiumwa aombewe 😁😁 hata Yesu Anashangaa huu unafiki
Siyo lazima Kansan kivp mkuu???Na sadaka si lazima uotoe kanisani, sadaka sio matangazo unapotoa toa kwa mungu... sadaka inayouma ndo hio ina maana kubwa sana kwa mungu🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Namaanisha kuna namna nyingi ya kutoa sadaka mzei sio lazima kanisani, mtumie hata bi mkubwa pesa hio ni sadaka saidia masikini hio ni sadakaSiyo lazima Kansan kivp mkuu???
Toa mkuu, utafundisha wengiIt true 100%
huu ulimwengu una watu makatili sana (washirikina, walozi na wachawi) they dont care about you even 1%
Siyo tu kwenye biashara hata kwa mfanyakazi, atoe 10% kwenye mshahara wake.
Sijui nitoe ushuhuda!
Acha dhambi ndio salama yako,fungu la kumi ukitoa halafu unaishi kwenye dhambi hiyo hela ni sawa na kuitupa,hakuna thawabu yoyote utakayopata hapo...Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Hapana watu wanasisitiza kua ni kweli mkuu chunguza vizuri
Lakini sio hizi sadaka za kupeleka kwa mwamposa na gwajimaSadaka ni ulinzi wa kiroho
Sadaka ndiyo code ya mafaninikio na baraka kwenye kila aspect
Mungu ana kanuni zake na ziko wazi, hakuna Short cut, unataka Short cut, jaribu Kwa SHETANI.Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
AmeenNina mengi ila nakupa ushuhuda mdogo sana.
Nilikuwa na madeni ambayo chanzo chake ni uchawi/roho ya chumaulete. Coworkers nao ni washirikina na wamepigana kuniharibu, na taarifa zote napata kupitia ndoto/ulimwengu wa roho ambazo ni za uhalisia, na mwishowe kupata matokeo yake ktk ulimwengu wa mwili. I was suffer kinyamaaa!
Uzuri nilikuwa natoa taarifa kwa kulalamika kwa mchungaji na viongozi wengine wa dhehebu langu, so mchungaji akanishauri kuvunja madhabahu walizojenga maadui zangu kwa kutoa sadaka. Baada ya hapo akanishauri kuanza kutoa 10%. Imagine nina madeni na ninapaswa kutoa 10%! Ni ngumu sana mzee ila ilinibidi nitumie imani ya KIMUNGU, nilitoa 10% kabla sijatumia pesa yoyote ktk mshahara wangu even kulipa deni! Guess what happen? Baadhi wafanyakazi wenzangu wakaanza kunikwepa na mwingine kuniita mchawi na mambo maovu yakaanza kuwarudia wao.
Fungu la kumi lenyewe ni imani ya kishirikina iliyovikwa utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Kuna binadamu ambaye Hana dhambi? Na ndio mana sadaka lazima utoeAcha dhambi ndio salama yako,fungu la kumi ukitoa halafu unaishi kwenye dhambi hiyo hela ni sawa na kuitupa,hakuna thawabu yoyote utakayopata hapo...